Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Kumbe jpm was kudra?? So it's possible and confirmed?? Saw bhana..
 
Miezi sita waliobaki wanamsifia ni wasanii, wapiga deal na wanasiasa.

Wengine wote hawana hamu nae kutwa anasafiri na kufanya kazi ya kukutana watu au makundi ya watu; shida za wananchi hazijui.

Huko kwenye halmashauri michezo michafu imerudi kwa kasi ya 4G.
 
Aisee huyu ni sawa na mama yangu

USSR
Kumbe huwa tunapigizana kelele na watoto tu humu? Na wengine unakuta mnatukana tu watu hovyohovyo humu.

Kwahiyo mtu wa miaka 60 anaweza kukuzaa ? Sawa.
 
Kaongea na nani haya masuala? Kwani mzanzibari bado ataendelea kuongoza bara? Zanzibar watakubali mbara akienda kuongoza kwao?

Akija mwinyi mama akaenda znz yote sawa. Wote wako vizuli. Mwenyezi Mungu awabaliki.
 
Mbona kama 2025 mbali sana! Anyway, wanasiasa hao...tusiwaamini sana!
 
Hawa watu ndio maana wanakufaga kibudu. Unahudhuria maadhimisho ya demokrasia gani unayo practice kama sio unafki mkubwa!!!

Huyo hata ma ccm wenzake wahawezi kukubali arudi madarakani.
Hawana ubavu, yeye ana nguvu zote.
 

Uyu mama tunampenda sana. Mungu ampe afya na umri mrefu mama etu. Anahekima, busara na huluma.
 
Kuna watu watabisha tu hapa, ila kiuhalisia anachukiwa mpaka na baadhi ya wanawake wenzake.

Watakaomsifia hawawezi kukosekana, ila wengi wao wameegemea zaidi katika malengo wa Feminism, Dini, uzanzibar na wengine ni wale wanaonufaika na uwepo wake pale.

Tofauti na hapo, SAMIA hii nchi imeshamshinda mapema sana.Si kwasababu ni mpole ni kwasababu haelewi afanye nini licha ya kuwa ikulu kwa zaidi ya miaka sita.
 
Lini halimshauri zilitulia , watanzania ni wezi na wavivu

USSR
 
Raisi kuwa mwanamke au mwanaume si issue. Tunataka raisi atakyeheshimu katiba hata hii iliyopo yenye matatizo.
aAkija mwinyi mama akaenda znz yote sawa. Wote wako vizuli. Mwenyezi Mungu awabaliki.
Afadhali Mwinyi ana ubara kidogo na yuko vizuri. Mama tozo, petroli inapanda kila kukicha, mafuta ya kula yanapanda nk. Yaani haangalii vitu vianvyomgusa mwananchi wa kawaida!!!! Tumelalamika wanapunguza only 30%. Tumegoma kutumia miamala ya simu tukaanza kutumia simbanking akaingia huko nako!!!! Ili mradi tu tukome ubishi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…