Mtanzania gani yuko elligble kugombea bara? Lazima awe mbara. Ndiyo maana wazanzibari hawasimami bara na wabara hawasimami zanzibar. Labda kama mnataka kuforce tu kwa vile dola ni yenu.No,
Ni mtanzania sio mzanzibari,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtanzania gani yuko elligble kugombea bara? Lazima awe mbara. Ndiyo maana wazanzibari hawasimami bara na wabara hawasimami zanzibar. Labda kama mnataka kuforce tu kwa vile dola ni yenu.No,
Ni mtanzania sio mzanzibari,
Sio Tume ya Uchaguzi, Wakurugenzi wa Halmashauri na Polisi ?kushinda kwake kunategemea upinzani wataweka mgombea gani
Asante kwa maoni[emoji1787]Asipewe, nchi inahitaji rais mkali wa matendo na maneno
Kwani Hassan mwinyi si aligombea mihula miwili?Sijaisoma katiba. Inatoa mamlaka ya mzanzibari kusimama bara agombee uraisi? Inaelekea mama anataka awe raisi wa bara. Hebu tuwekee kifungu kinachodadavua hili suala.
Anaweza hata asifike hiyo 2025 yaani baada afanye kimya kimya yeye anaropoka kabisaMama kuwa makini na haya mambo ya uchaguzi wa 2025....ni bora ukae kimya, unaweza kuyumbishwa kuelekea hiyo 2025 mpaka ukajuta....
Ndiyo makosa hayo ya ccm kuforce. Mbara yupi anaweza kuwa raisi zanzibar? Watakubali?kwaiyo mwinyi alikua ni Rais wa morocco au?
hapana,itategemea wizi wa kurakushinda kwake kunategemea upinzani wataweka mgombea gani
Wabongo kwa kujifanya wajuaji wa mambo hatujambo. Eti hawatamchagua dsm, mbeya na arusha, sijui huu utafiti wako uchwara umeufanya lini ukakupa haya majibu?Kama kauli hii kaitoa rais SSH tayari ameshapoteza mwelekeo hakuna atakayemchagua Mbeya, Mwanza, Arusha na Dar Es Salaam
Utajitangazaje utagombea urais wakati una miezi sita tu tangu ushike madaraka ya ngekewa
Kauli gani gani yenye ukakasi kama hii?
Kwa hiyo JPM aliangamizwa na nini ili wadai ni kudra ya menyezi Mungu wachukue nafasi ya urais?
Kwa hiyo hata madai yanayodaiwa kwamba JPM alihujumiwa ni kweli na yeye anajua?
Wanawake anaojifariji watampigia kura ndio hawamtaki kabisa kumsikia lakini wanamg'ong'a
*She will never be voted by anybody nor win the general election race come 2025.
"Kufika hapa, kama isingekuwa kudra ya Mungu ingekuwa ngumu sana, sasa ndugu zangu Rais mwanamke tutamuweka 2025. Mwaka 2025 tukifanya vitu vyetu vizuri, tukishikamana, tukimuweka Rais wetu, tutakutana hapa kwa furaha kubwa sana
Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vigazeti kwamba Samia hatasimama, nani kawaambia? Wanawake oyee. Fadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.
Wanawake wamefanya kazi kubwa kuleta uhuru wa nchi hii, Wanawake tumefanya kazi kubwa kujenga siasa za nchi hii, tumebeba sana wanaume katika siasa za nchi hii, leo Mungu ametupa baraka mikononi, tukiiachia Mungu atatulaani"
Hii kauli amewadhalilisha sana wanaume kwa kujiona anauwezo na nguvu cha kufanya chochote kwa raia wa nchi-NO
huu ni ushahidi mwingine. mama uwezo wake ni mdogo vibaya sana. Sio level za MigiroMama kuwa makini na haya mambo ya uchaguzi wa 2025....ni bora ukae kimya, unaweza kuyumbishwa kuelekea hiyo 2025 mpaka ukajuta....
Kwanza tafuta tofauti ya tanganyika na tanzania halafu ndio uje ubishane bwasheheMtanzania gani yuko elligble kugombea bara? Lazima awe mbara. Ndiyo maana wazanzibari hawasimami bara na wabara hawasimami zanzibar. Labda kama mnataka kuforce tu kwa vile dola ni yenu.
Yaani ametangaza nia miaka 4 kabla ya uchaguzi! Maana yake ni kuwa miaka yote hiyo atakuwa anafanya kazi akiwa anauota 2025.its too early for to start comitting herself to 2025/2030.
anayo mengi ya kuyafanya kwanza..kabla ya kuanza kutupa mlengo wake wa miaka ijayo katika siasa.
Tozo, mafuta ya kula bei juu, petroli bei iko juu, kila kitu kinapanda kila kukicha.Hilo lipowazi ila apige kazi sio majungu .nampenda Samia hadi naumwa
USSR
Si mliikataa katiba ya warioba!!! Iliweka utofauti vizuri sana!!!!Kwanza tafuta tofauti ya tanganyika na tanzania halafu ndio uje ubishane bwashehe
hujui hat Mwinyi ni wa Mkuranga?kwaiyo mwinyi alikua ni Rais wa morocco au?
Nyie mkisema 2025 mnachukua nchi huwa nakuwa mmeshapiga kuraEti 2025 ndo Rais wa kike atachaguliwa. Mbona anajihakikishia sana. Hapo ndo utajua CCM huwa haitegemei kura za wananchi, bali wanakuwa na matokeo yao tayari.