Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Nasubiri comments za wajaβœπŸ‘©β€πŸ’»πŸ‘‚
 
Atamaliza miaka 4 akiwa kiongozi bila kuchaguliwa 2025,2030 atakua ana miaka mitano ya kuchaguliwa,2035 atakua ana 10 ya kuchaguliwa kwahiyo ukijumlisha yote ni 14 wakati mwengine soma katiba yetu na uielewe usije huku kama umekatwa kichwa!!
 
Lakini katiba haimpi nafasi ya kugombea. Labda aibadili.
Katiba ipi inamzuia acha hizo 2025 Rais Samia na hakuna cha kufanya. Mnabidi mkubali tu gangs zenu zhazitashinda kamwe.
 
Aombe basi hata hiyo 2025 afike basi, miezi sita tu toka aingie madarakani mama wa watu kachoka na kuchokwa vibaya, makada wenyewe wanajipanga kumtengua mapema.
 
Atamaliza miaka 4 akiwa kiongozi bila kuchaguliwa 2025,2030 atakua ana miaka mitano ya kuchaguliwa,2035 atakua ana 10 ya kuchaguliwa kwahiyo ukijumlisha yote ni 14 wakati mwengine soma katiba yetu na uielewe usije huku kama umekatwa kichwa!!
katiba ya wapi hiyo??? katiba inaruhusu kugombea hivo endapo angeingia magufuli ametimiza miaka mitatu vinnginevyo ni maramoja tu
 
Mama Dorothy Gwajima. Hii nchi inahitaji wenye ukichaa kidigo kwenye utekelezaji wa majukumu. Unamchana hapo hapo bila kumuonea haya.
 
Kushinda kwake kunategemea upinzani wataweka mgombea gani
Nani kakuambia nchi hii kinachoamua nani awe rais ni sanduku la kura? Wapinzani wenyewe mara kadhaa wameshinda lakini wanapigwa pini. Uchaguzi wa kimagufuli ndio utakuwa fasheni kwa miaka kadhaa. Nani hapendi vya dezo?
 
Duniani mafuta hayajapanda na ndiyo maana madereva wa tunduma wanaenda zambia kuweka mafuta. Kule bei iko chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…