Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Sawa atagombea baba yako tutamchagua mkuu usijari.
 
Naunga mkono hoja! Kama anautaka urais kamili, basi aende akagombee nchini kwake. Hii mambo ya kutawaliwa na mgeni inafikirisha sana.
Mgeni tena ndugu kwani tunakiongozi kutoa Kenya au Uganda ondoa Uzanzibari na utanganyika sote ni watanzania.
 
Mgeni tena ndugu kwani tunakiongozi kutoa Kenya au Uganda ondoa Uzanzibari na utanganyika sote ni watanzania.
Kama wew unaona Kuna usawa basi nenda kachukue fomu ugombee ubunge Zanzibar. Mambo mengine yanahitaji kutumia Akili sio kupumbazwa na wachumia tumbo wachache.
 
Mgeni tena ndugu kwani tunakiongozi kutoa Kenya au Uganda ondoa Uzanzibari na utanganyika sote ni watanzania.
Utanzania uko Tanganyika tu! Zanzibar hakuna Utanzania! Sasa Muungano wa kazi gani!!

Na kuna sababu gani ya msingi kwa Mzanzibar kuja kutawala Tanganyika, au baadhi ya Wazanzibar kupewa nyazifa mbalimbali Tanganyika huku Mtanganyika akikosa sifa ya kuwa na wadhifa wowote ule wa maana Zanzibar!

Kama vipi tuwe na Muunagano wa Serikali Tatu, badala ya huu Muungano wa kinafiki wa serikali mbili.
 
Simple and Clear wenye akili wataelewa zuzu watajenga Hoja
 
Piga geuza Samia hatagombea urais 2025.... (mleta mada)
 
Sawa atagombea baba yako tutamchagua mkuu usijari.
Kama mama yako toka huko kwenu Kolomije akigombea urais wa Zanzibar na akapitishwa kuwa mgombea basi Mimi ntajitolea kuwa Kampeni meneja wake ndugu bashite.
 
We mpuuzi na msukule wa dikteta mwendazake

Samia anagombea urais 2025 na hamna kenge wowote wakumzuia,

Kwanza anawajali wananchi, na anakubarika na jeshi la Ulinzi kwaiyo hakuna mbuni wakumzuia Samia asigombee, kwaiyo take it from unknown source


Hakuna mbuzi wakumzuia Samia asigombee mwaka 2025,Samia yupo Hadi 2035
 
Kumbe!!!
 
Kwasasa tuombe Mungu atisaidie Huyu Mama aendelee...Kuna kundi Kubwa halikuridhika na Serikali iliyopita Iliyozalisha watu katiri kama Sabaya...Hata kama bado Mama hajaridhisha makundi yote hasa wapinzani ila mambo yanatulia nadhani Mpaka sasa mm namukosoa kwa kulala sana kwenye mambo ya wanwake (feminist) na kutohuisha mtengano wa nchi...
 
Samia tuko nae Sana tuu kuliko kuwa na Matapeli na washenzi wengine kutoka Lake zone bora kuhamia Somalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…