Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

Wew unaonekana ni binti wa Samia au Mkwe wake mlio peana vyeo vya uwaziri na Kuna Mzanzibari mwingine amepewa ukuu wa Wilaya Iringa.Wenye nchi tunawaeleza ukweriiiiiii hatumungunyi maneno hili ni taifa huru.Muungano ni wa Tanganyika na Zanzibar na sio Zanzibar na Tanzania. Huu sio wakati wa kuzima hoja nzito kwa vioja.Tulisha KATAA kutawliwa na watu kutoka taifa jingine la Zanzibar Mara baada ya Mwinyi. Taifa letu ni thamani kubwa kuliko Muungano usio na kichwa Wala miguu.
 
Wewe ni Mzanzibari?
 
Tanzania itawaliwa na Marais kutoka Zanzibar mara mbili mfulululizo.

Mambo ni kama yalipangwa vile... Ilikuwa Ngumu Mwinyi kuwa Rais 2025 labda Magufuli angeongoza Hadi 2030 ila Sasa ni Rais sana.

By 2025 Mwinyi ndio atakuwa mtu mwenye nguvu Zaid kisiasa Tanzania
 
Elimu ya uraia Ni shiida "Kweri Kweri"
Tuwekeeni kifungu cha Katiba kinachoeleza Urais wa JAMHURI ya MUUNGANO wa TANZANIA utawaniwa na Watanganyika tu Wazanzibari wao nafasi yao ni Makamo wa RAIS.
 

 
Elimu ya uraia Ni shiida "Kweri Kweri"
Tuwekeeni kifungu cha Katiba kinachoeleza Urais wa JAMHURI ya MUUNGANO wa TANZANIA utawaniwa na Watanganyika tu Wazanzibari wao nafasi yao ni Makamo wa RAIS.
Kuna KATIBA za kuandikwa na KATIBA zisizo andikwa ndugu jitahidi kujiongezea elimu. Ndio maana hujaona ilipo andikwa kumzuia Mzanzibari kugombea urais wa Tanganyika lakini hawajagombea toka Mkapa, Kikwete hadi Magufuli hujiulizi kwani hawakuwepo wakina Samia? Sijui wanipata uzuri wewe kijana toka makunduchi?
 
Wameshagombea Mara nyingi tu sema kura hazikutosha. Salim Ahmed Salim, Ali Abeid Amani Karume, Amina Salim Ali n.k

Katiba zisizo andikwa hazina mashiko ya kisheria.

Nimeona hapo CCM wamewazuia mpaka vyama vya Upinzani wasiweke Mgombea wa Urais Mzanzibari imekaaje hiyo ndugu.
 
Salama yake ni kuunga juhudi za upatikanaji wa KATIBA MPYA, vinginevyo katiba hii hii ya HOVYO ndio itakayotumika KUMTUPA NJE.
 
Haya yote nilikuwa siyajui Ila nakushukuru sana Mtoa mada kwakunielimisha. Yaani wametuhadaa tuue Utanganyika wetu huku wao wakiuhifadhi Uzanzibari wao!!!Katiba Mpya ni Muhimu mno kwani ndiyo suluhisho la haya yote.
 
Kwa namna ulivyo comment imedhihirisha wazi ulivyo mweupe kichwani.Huna hoja yoyote,bali unaongea kwa hisia. Huu ni ujinga wa watu wengi sana.
 
Ndio KATIBA yenyewe mkuu unauliza majibu. KATIBA isiyo andikwa ikikukataa hata ukigombea huta pita ng'oo maana wapiga kura wanajua KATIBA iliyo mioyoni mwao inasemaje. Huu ndio ukwerii na lazima tuambiazane ukwerii japo ukweli unaumaa.
 
Ndio KATIBA yenyewe mkuu unauliza majibu. KATIBA isiyo andikwa ikikukataa hata ukigombea huta pita ng'oo maana wapiga kura wanajua KATIBA iliyo mioyoni mwao inasemaje. Huu ndio ukwerii na lazima tuambiazane ukwerii japo ukweli unaumaa.
Shukran.
Haya malizia na hayo mengine. Umejibu moja tu au nikupe muda?
 
Kwanza na mwinyi sio mzanzibari, alipwlejwa tu kutawala huko na nyerere. Ni mtanganyika wa mkuranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…