Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
"Ikulu siyo pakukimbilia, ni mzigo mzito" J. K. NyerereFadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Ikulu siyo pakukimbilia, ni mzigo mzito" J. K. NyerereFadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.
Wewe ukifa then anayekufuata akarithi kiti utasema ni baraka toka kwa Mungu amerithi kiti chako??? Au mi ndiyo sielewi?Ni baraka.
Si kauli nzuri labda kiswahili cha KIZANZIBAR 😂Wewe ukifa then anayekufuata akarithi kiti utasema ni baraka toka kwa Mungu amerithi kiti chako??? Au mi ndiyo sielewi?
Huyu bibi ni mpumbavu sana, kosa aliyofanya Magu ni kumuamini huyu nyoka na kosa kubwa alilofanya ni kusema hadharani ni kusema wenye umri mkubwa hatawapitisha. Mama akaona plan yake inaenda kufeli wakafanya waliofanyaNdio hapo sasa, alisema kuhusu 2025 wasubiri mpaka huko baadae
Lini halimshauri zilitulia , watanzania ni wezi na wavivu
USSR
Ndo maana suala la katiba mpya kasema apewe muda kwanza ajenge nchi kumbe ni janja ya kuwekwa raisi mwanamke 2025Kwa tume hii atapeta.
Hapa kazi ipo. Kiukweli Maza kakosea sana!!Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke.
"Kufika hapa, kama isingekuwa kudra ya Mungu ingekuwa ngumu sana, sasa ndugu zangu Rais mwanamke tutamuweka 2025. Mwaka 2025 tukifanya vitu vyetu vizuri, tukishikamana, tukimuweka Rais wetu, tutakutana hapa kwa furaha kubwa sana
Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vigazeti kwamba Samia hatasimama, nani kawaambia? Wanawake oyee. Fadhila za mwenyezi Mungu zikija mikononi mwako usiziachie.
Wanawake wamefanya kazi kubwa kuleta uhuru wa nchi hii, Wanawake tumefanya kazi kubwa kujenga siasa za nchi hii, tumebeba sana wanaume katika siasa za nchi hii, leo Mungu ametupa baraka mikononi, tukiiachia Mungu atatulaani.
Alisema Rais Samia Suluhu
Mengineyo, Rais Samia amesema ataendeleza mema yote katika awamu zote na watajitahidi kuongeza mema mengine.
Kuhusu usawa wa jinsia amesema hawajafika lakini wanawake wataendelea kuongezeka kwani asipofanya yeye hakuna ambae atafanya.
Wewe ukifa then anayekufuata akarithi kiti utasema ni baraka toka kwa Mungu amerithi kiti chako??? Au mi ndiyo sielewi?
Si kauli nzuri labda kiswahili cha KIZANZIBAR [emoji23]
Nataka ujue sasa anaongoza akiwa sio mgombea!!..2025 atakua mgombea na 2030 pia atakua mgombea panapomajaliwa jumpa Itakua mingapi Ndugu msomiww ndugu hakuna 14 years usiongee usivyovijuaa ..katiba inasema atagombea awamu 3 endapo JPM angekuwa kaongoza nchi more than 3 years ...huyu mama kachukua nchi hata mwaka bado kwahyo atakuwa na vipindi 2 tu vyakuongoza nchi hii jumla miaka 9 na usheee