Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipe moyo ila kwa taarifa yako mama atashinda kwa kishindo kwa sababu watanzania tunamwelewa
BhagoshaAsha-Rose Migiro anawachekiiii anasema hiiiiii
kundi gani kubwa la ccm ambalo halimtaki, mbn mimi namtakaupinzani wangekuwa makini hii ni fursa nzuri sana kwao kwani ccm kundi kubwa hawamtaki yuko hapo kwa matakwa ya kikatiba na jaribio loote la kuzuia wagombea wengine hili yeye agombee litaleta mpasuko mkubwa, hizi nafasi huja kwa nadra sana
Inasikitisha sana. Yaani kifo cha Dkt JPM kwa kauli ya Mama na Waziri Mkuu enzi zile zinaashiria kilichotokea kilipangwa ndiyo maana waziri mkuu alisema kuwa Dkt JPM anaendelea vizuri kumbe tayari alikuwa kesha kufa. Ila mafisadi watashindwa tu.
Rais aliyepo madarakani hawezi kutolewa kwa box la kura, jiongezeni basi nyie mnafikiri CHADEMA kupigania katiba mpya hawajaliona hilo?Wanaomdanganya Mama kuwa anapendwa muogopeni Mungu. Mama ajiandae kisaikolojia jasa kanda ya ziwa
Heri ukae kimya mzehe. Una statistics za kuonyesha mama hapendwi? Au vicomment vya mitandaoni vinawaongopea 😁😁😁😁 amini ucamini mama anapita. Mwenyezi Mungu ajaarie inshaalahWanaomdanganya Mama kuwa anapendwa muogopeni Mungu. Mama ajiandae kisaikolojia jasa kanda ya ziwa
Unaomboleza weweSina hakika kama huu ulikuwa muda muafaka kwake kutangaza nia ya urais 2025 kwa sababu watanzania bado wanaomboleza. Nadhani washauri wake hapo wamempotosha, alipaswa achape kazi tu kwa sasa then two or one year before uchaguzi angekuwa na sababu (jamani naombeni mnipe lizaa nimalizie yale ambayo nimeyaanza). Ila kwa sasa inaonekana kama vile yalipangwa yaliyotokea ili yeye iwe hivyo alivyo na ni furaha kwake! Sijui ila inafikirisha sana huo uharaka.
Wanajilisha upepoHeri ukae kimya mzehe. Una statistics za kuonyesha mama hapendwi??? Au vicomment vya mitandaoni vinawaongopea 😁😁😁😁 amini ucamini mama anapita. Mwenyezi Mungu ajaarie inshaalah
www.jamiiforums.com
Toeni mgombea basi Ili tuoneSukuma gang ni Kama maji.
Huwezi wasambaratisha Labda aungane nao.
Tangu aingie madarakani katembelea Sukuma gang Mara nyingi kuliko hata Msoga kwa mshika usukani.
Waambie wajipange 2030Kwa utamaduni wa chama chetu, incumbent President hawezishindanishwa na mwanachama mwingine. Habari ndio hiyo. Cha msingi HE Hangaya kati ya sasa na 2022 apunguze watu wenye ...
Tuko nyuma yako Mama watumishi wa umma, tumenyanyasika sana huko nyuma.Mods msiunganishe huu uzi niwape hawa watu vidonge vyao,
Genge linalopinga SSH kuwa Rais kwa muhula wa pili mkiongozwa na Chakubanga slow slow, mgetafuta tu kazi za kufanya...