"...kukatwa Kodi haimanishi wewe ni mlipa kodi...". Inamaanisha nini? Au ndo na yy anavofikiri?! Kwani hajui unaponunua chchte unakua umelipa kodi!? Kwamba hata watt wakinunua pp wanalipa? Tozo? Ushuru? VAT? PAYE? TAX ...nk. Wamekadiria kkukusanya 28tri/-. Kwa msingi huo, kila 1 wa hao 2 mil. wanaolipa, anatarajiwa alipe 14tri/-!? Matango pori ...duh!Kukatwa Kodi haimaanishi wewe ni mlipa Kodi.Kama huna TIN wewe sio mlipakodi.
Chukulia mfano tu mafuta ya dizel na petrol makato ni lukuki. Inamaana watumiaji milioni 2? Come on! Watanzania mbona tunafanyiana mzaha kana kwamba watu hawaelewi wakati ni suala simple tu.Kuna
1. Tax (Kodi)
2. Charges (Tozo)
3. Levy (Ushuru)
Watu hawalipi kodi kwasababu charges na levy ni nyingi sana sasa ukiongeza na kulipa kodi ni sawa hiyo kazi unaifanyia serikali na mwenye nyumba labda na maonesho kwamba unaamka asubuhi nawe una mahali unakwenda kushinda basi. Ndio maana watu wana opt wasilipe/wakwepe kodi.
Ushauri japo najua hauwezi fanyiwa kazi. Chagueni kufuta kodi zibaki charges and levy au zifutwe charges and levy ibaki kodi then boom π₯ muujiza makusanyo yataongezeka achana na maigizo ya sasa ya TRA.
Ana wabunge ambao hawalipi kodi, i think even mawaziri. Anachoshangaa hapa ni niniView attachment 3117355
WATANZANIA MNAJUA KUA RAIS ALIONDOLEWA KWENYE MFUMO WA KULIPA KODI ?
Sasa naona na yeye anashangaa kua idadi ya walipa kodi ni ndogo.
ukinunua hata pipi ya mtoto au nepi za mtoto umesha changia kodi humo !Tumechoka kusikia hizi blah blah
Ndio walivyokaririshwa shule na ndio wanawashauri hivyo viongozi wetu. Aibu sanaukinunua hata pipi ya mtoto au nepi za mtoto umesha changia kodi humo !
Hao wafanya biashara ni wakusanyaji tu wa kodi wanao fahamika π³ !
Bidhaa zao wanazozalisha na wanazoziuza na hata huduma wanazozitoa zote wanaweka na gharama za kodi zao na mpaka faida watakayoipata itatoka kwa hao hao walaji wa hizo bidhaa na huduma wanazozitoa kwa hao walaji wa mwisho !
Maajabu ya tafsiri ya walipa kodi iliyowekwa na wanaoitwa wataalamu wa masuala ya kodi ni kwamba Eti yule mfanyabiashara anayekusanya mauzo kutoka kwa walaji ambayo yameshawekwa na kodi zote kwenye hizo bidhaa na kwenye huduma zote anahesabika yeye ndiye mlipa kodi πππ !
Haya kwangu ni maajabu π± !
kweli dogo anampoteza,Mwigulu anamdanganya sana rais.