Alafu hao wanaomsikiliza hapo ndio viongozi,Hivi mambo ya maana huwa yanajificha? Kila mtu anajua nani alifanya nini wakati wa uchaguzi uliopita, it was all over social media. Sasa hivi tunatafuta mchawi na kupoteza muda ili mradi ionekane kuna kitu kinafanyika. Ujinga!
Nonsense. Hivi huyu kibibi anataka kutufanya sisi watanganyika mazuzu kweli kweli.Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kutoa Ushirikiano kwa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, maarufu kama Tume ya Jaji Lila.
Amesema hayo leo Ahosti 7, 2026 katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Tume hiyo iliyofanyika leo Agosti 7, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
"Katika hili niwasihi sana Watanzania wote kutoa ushirikiano unaohitajika na Tume katika kutekeleza majukumu yao. Niwasihi sana Watanzania tuisaidie Tume hii iweze kufanya kazi yake na tusiisumbue katika kufanya kazi zake"
na watoa taarifa watapataje uhakika wa usalama wao? maana siyo unatoa ushirikiano then unajikuta vuko matatani.Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kutoa Ushirikiano kwa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, maarufu kama Tume ya Jaji Lila.
Amesema hayo leo Ahosti 7, 2026 katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Tume hiyo iliyofanyika leo Agosti 7, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
"Katika hili niwasihi sana Watanzania wote kutoa ushirikiano unaohitajika na Tume katika kutekeleza majukumu yao. Niwasihi sana Watanzania tuisaidie Tume hii iweze kufanya kazi yake na tusiisumbue katika kufanya kazi zake"
per diemUjinga ni kwamba hao wote waliokaa hapo wanajua muuaji ni yupi na wapo kati yao lakini wazee wazima badala ya kukomboa taifa wanaungana na wauaji kusikiliza na kupiga makofi na kupoteza muda,
Ila wao hawawezi kuhisi machungu maana waliouliwa na kupotezwa ni watanzania maskini tu
kama taifa tutafanya hivyo kizalendo zaidi mh.rais Dr.Samia Suluhu Hassan 🙏Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kutoa Ushirikiano kwa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, maarufu kama Tume ya Jaji Lila.
Amesema hayo leo Ahosti 7, 2026 katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Tume hiyo iliyofanyika leo Agosti 7, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
"Katika hili niwasihi sana Watanzania wote kutoa ushirikiano unaohitajika na Tume katika kutekeleza majukumu yao. Niwasihi sana Watanzania tuisaidie Tume hii iweze kufanya kazi yake na tusiisumbue katika kufanya kazi zake"
Ni Dr wa nn huyo samuya??kama taifa utafanya hivyo kizalendo zaidi mh.rais Dr.Samia Suluhu Hassan 🙏
Kwa Akili kama hii ya mamaKwanini africa ni masikini?
Kwani wewe ukisadia sii inatoshaa .Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kutoa Ushirikiano kwa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, maarufu kama Tume ya Jaji Lila.