Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Serikali ya Tanzania iache ile tabia ya kuwatanguliza watu wao sehemu za kuhojiwa/kutoa ushuhuda kwa tume tarajiwa.Watu hao hupangwa ili waongee walichoagizwa na serikali kwa nia ya kutetea na kupotosha ukweli.Huo uhuni haufai.Hivi mambo ya maana huwa yanajificha? Kila mtu anajua nani alifanya nini wakati wa uchaguzi uliopita, it was all over social media. Sasa hivi tunatafuta mchawi na kupoteza muda ili mradi ionekane kuna kitu kinafanyika. Ujinga!