Rais Samia: Watanzania tuisaidie Tume iweze kufanya kazi yake na TUSIISUMBUE

Hivi mambo ya maana huwa yanajificha? Kila mtu anajua nani alifanya nini wakati wa uchaguzi uliopita, it was all over social media. Sasa hivi tunatafuta mchawi na kupoteza muda ili mradi ionekane kuna kitu kinafanyika. Ujinga!
Serikali ya Tanzania iache ile tabia ya kuwatanguliza watu wao sehemu za kuhojiwa/kutoa ushuhuda kwa tume tarajiwa.Watu hao hupangwa ili waongee walichoagizwa na serikali kwa nia ya kutetea na kupotosha ukweli.Huo uhuni haufai.
 
Ndio nasubiri kwa hamu kujua nani ni nani na kivipi
 
Wewe tulia tutajua tu uspanic
 
Hakuna mtu safi mwenye akili na uzalendo wa kweli kwa taifa hiki anayeweza kushirikiana na tume bandia iliyoundwa na muuaji ili kuhalalisha mauaji aliyoyafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…