Ni zamu ya Afrika mashariki kutoa mwenyekitiNasikitika kusema, lakini nafikiri huyo bwana ni zaidi ya CCM kwa ubovu wake. Akipata nafasi hiyo ya uenyekiti wa Komisheni, ni kwa sababu ya washindani wake kuwa dhaifu zaidi au vi-nchi vyao kutokuwa na uzito wa ushawishi mkubwa kuwaunga mkono wagombea wao.
Ni sawa na huyo 'Spika' wa Mabunge tuliye naye hapa kwetu alivyo weza kunyakuwa nafasi hiyo.
Nchi zote za Afrika mashariki zimetoa mgombea mmoja tu Raila Odinga hivyo atapita kirahisi tu