Rais Samia: Watanzania Wananiita Mama na hapa Kenya Odinga mnamwita baba, hivyo tunamuunga mkono kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Africa

Rais Samia: Watanzania Wananiita Mama na hapa Kenya Odinga mnamwita baba, hivyo tunamuunga mkono kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Africa

Nasikitika kusema, lakini nafikiri huyo bwana ni zaidi ya CCM kwa ubovu wake. Akipata nafasi hiyo ya uenyekiti wa Komisheni, ni kwa sababu ya washindani wake kuwa dhaifu zaidi au vi-nchi vyao kutokuwa na uzito wa ushawishi mkubwa kuwaunga mkono wagombea wao.

Ni sawa na huyo 'Spika' wa Mabunge tuliye naye hapa kwetu alivyo weza kunyakuwa nafasi hiyo.
Ni zamu ya Afrika mashariki kutoa mwenyekiti

Nchi zote za Afrika mashariki zimetoa mgombea mmoja tu Raila Odinga hivyo atapita kirahisi tu
 
Ni zamu ya Afrika mashariki kutoa mwenyekiti

Nchi zote za Afrika mashariki zimetoa mgombea mmoja tu Raila Odinga hivyo atapita kirahisi tu
Djibout naye yumo, na nadhani Seychelles au...
Siyo Afrika mashariki pekee, ni "Eneo la Mashariki ya Afrika".
 
Walisoma pamoja na kukaa chumba kimoja bwenini Magufuli na Odinga wakisoma chuo kikuu cha Dar es salaam .Ulitakaje urafiki wao ufe kisa mmoja mkenya mwingine mtanzania au kwa kuwa wako vyama tofauti?

Urafiki wao umedumu toka wakiwa wanasoma
Odinga na magufuli walisoma pamoja?😂😂
Alafu odinga hajawahi kusoma UDSM
Odinga anamaliza University magufuli alikua na miaka 10 tu hata darasa la nne hajafika
Toka hiyo miaka odinga hakusoma tena

Haya mnaandikaga huwa mnatoa wapi? We jamaa unaandikaga tu ili mradi umeona herufi kwenye keyboard
 
Hivi hii dhambi ya usingiziaji itawatoka lini, habari za "Watanzania wanasema" hazijaanza leo na hazijaanzia kwake. Tulimwambia hivyo lini sisi, waaapi uko?
 
Back
Top Bottom