DOKEZO Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa mimi raia mchovu nalalamika. Na wewe mwanajeshi tena unayo mafunzo kamili ya medani, silaha, intelijensia kabisa unalalamika yaani ni vichekesho πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pole San mzee wangu ila ninyi nanyi Ni majanga Sana mnawalinda watawala alfu ndio malipo watawala wanawalipa kuwa dhulumu

Poleni Sana wanajeshi wengi wa Sasa HV Ni walala hoi
 
Madhara ya jeshi kutumika kama toilet paper na chama cha mboga mboga ndio haya sasa.

Ikitokea vita Tz hatuna jeshi hapa tuwe wakweli tu kwa style kama hii.
πŸ˜‚
Toilet paper
Ukiwaona wanavyowalinda ccm, wanavyozuia maandamano kwa mabomu na risasi na wanavyosaidia kuiba kura πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani mimi najua wanajeshi na mapolisi ni matajiri sana na wakistaafu wanapewa hela nyingi mno. Kumbe mpaka pensheni zao zimeliwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ccm shikamoo πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hawa jamaa wana huzunisha sana wapo radhi kufanya lolote lile ili CCM iendelee kuwa madarakani wacha wavune wanacho panda kila siku
 
Hawa jamaa wana huzunisha sana wapo radhi kufanya lolote lile ili CCM iendelee kuwa madarakani wacha wavune wanacho panda kila siku
πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani ukiwakuta kipindi cha kuiba kura wanavyokuwa serious na mabunduki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Wanajiona kwelikweli.

Dah ila ccm kiboko kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚. Yaani wamelamba pensheni zao zoteπŸ˜‚πŸ˜‚ sasa hivi ni kuwazungusha tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana leo
 
Kama, ni polisi, wala sina huruma na, nyie,
Pesa, zimeishatumbuliwa! Zilizojenga idol, hazijarudi mpaka Leo,
Hili liwe fundisho kwa vijana, lazima ujipange.
 
Ila ccm nimewanyooshea mikono, wanaiba hela mpaka za wanajeshi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Kama wanajeshi wenyewe ndio hawa mazombie unategemea nini? Unakuta mwanajeshi anaona sifa kualikwa na mwanasiasa kwenye hafla hapo unategemea nini?

Siku nilijua tuna jeshi dhaifu ni siku Magufuli alipokea wanaccm kwenye kamisheni ya jeshi. Yaani jeshi limetengwa na siasa kikatiba kisha wanaccm wakapokelewa!

Nilishangaa hata kwenye ile kesi ya kubumba ya Mbowe eti wanajeshi tena makomandoo waliteswa na polisi hawa akina Kingai, na mwanajeshi mwingine akawa anaenda mahakamani kutoa ushahidi wa uongo ili mpinzani afungwe. Kwa udhaifu huu wa wanajeshi, ndio maana CCM wanajisifia watatawala milele.
 
Na Bado Ni vzr ccm iwanyime kbsaa hata hicho kidgo wanachodai wapuuzi snaa waliwalinda watawla leo wanakuja kutusumbua ss tuwapiganie
 
Kwa udhaifu huu hakika CCM watatesa milele bongo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Malipo ni hapahapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii imeenda!

 
Na Bado Ni vzr ccm iwanyime kbsaa hata hicho kidgo wanachodai wapuuzi snaa waliwalinda watawla leo wanakuja kutusumbua ss tuwapiganie
Me mwenyewe nashangaa amekuja kumpigia kelele nani humu kama wajibu wake kama kamanda haufahamu.

Ni bora angepiga kimya tu maana analitia aibu jeshi na kuzidi kuonekana sio chochote sio lolote mbele ya watawala yaani hovyo.
 
Nimecheka kwa nguvu, eti mwanajeshi anasema kuna mbunge alisema atawatetea, cha ajabu unakuta huyo mbunge aliingia bungeni bila kupingwa, au kwa kura za wizi.
Wacha watibuliwe kmmmk zao ,jeshi la hvyo San Hili alfu eti inajidai ndio jeshi imara kwa ukandaa huu wkt kila mwaka wanatandikwa na waasi na Bado ccm inawanyoosha mm nasema wanyimwe kbsa hata hicho kidg wanachodai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…