DOKEZO Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Vumilieni nyie wazalendo
Kazeeni tu,poteezeeni tu

Ova
 
Ni vema pia kusifia stability ya jeshi letu ukilinganisha na majeshi ya nchi nyingine ambayo yametengeneza makundi ya waasi yanayovuruga amani, chukulia mfano Sudan. Haya wanayodai ni matokeo ya kuingiza siasa kwenye kila nyanja ya utendaji.
 
Majeshi yanayojielewa huwezi Kuta kelele uchwara kama hz, jeshi la nchi flan kazi yake ni kusubir wakudake na jezi zao wakutesee wee yakistaafu ndo hvo wanaanza kuleta vidokezo kuomba huruma Kwa stahiki zao.

Kuna jeshi huko limemkamata RAIS wanamlisha wali mkavu ila nchi flan wala hata hawawazi wanasubir uteuzi uwapitie
 
Muache tabia ya kuonea raia mnaookuwa mnatumikia majeshi.
Muwashauri na wenzenu.
 
Utaratibu wa wanajeshi kuchangia mifuko ya hifadhi ya jamii umeanza lini?! Siku zote malipo yao yakitoka hazina.
 
USA Kuna wastaafu wa jeshi nao wanalalama.[emoji1787]

Ukraine inaongoza Kwa utitiri wa siraha,Cha kusikitisha kwenye uwanja wa mapambano wanarudi nyuma badala ya kwenda mbele,(Naanza mwelewa Putin Kwa Nini amekodi jeshi)[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


 
Unganeni kwa pamoja kisha muunde kikosi chenu cha walioonewa kisha sakeni silaha mwisho mfanye matukio ya maana muone kama hamjalipwa pesa zenu.
 
Moja ya suala la kushughulikia la wazi na linaloumiza watu wengi ni hili la wastaafu. Haihitajiki siasa bali inahitajika utashi na uweledi na kupenda haki kuwalipa watu haki zao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jeshi la wasaka teuzi za ukuu wa wilaya, mikoa, kurugenzi za board mbalimbali.
 
Unganeni kwa pamoja kisha muunde kikosi chenu cha walioonewa kisha sakeni silaha mwisho mfanye matukio ya maana muone kama hamjalipwa pesa zenu.
Mbinu rahisi sana hii kama wana huo ujasiri
 
Ndio Muwaambie sasa Vijana wenu Mliowaacha Jeshini, haya ndio Malipo ya Kutumika na CCM Kuiba chaguzi na Figisu Mbali Mbali na Kuua watu Kwa Maagizo.
Karma is a Bitch
 
Malipo ni hapa hapa Duniani
Hawa wakiwa Makazini ndio vinara wa kuihujumu Jamii Forum, Leo wapo hapa wanatoa vilio vya Kupitia JF
JF ni Kama Maji, usipoyanywa utayachambia
 
Jeshi sio ajira... ndio maana mlikua mkiinjoi privileges nyingi as vibarua. Kazi ya jeshi si ajira!! Huwa mnajisahau sana huko...

Siku hizi jeshi mnakatwa pensheni na hamko hazina tena?
 
Jeshi sio ajira... ndio maana mlikua mkiinjoi privileges nyingi as vibarua. Kazi ya jeshi si ajira!! Huwa mnajisahau sana huko...

Siku hizi jeshi mnakatwa pensheni na hamko hazina tena?
Umesoma walaka wote?
 
Kwa ulichoandika ni wazi umri wako ni kati ya miaka 18-23 na bado unakaa kwa wazazi wako upo sahihi kwa umri wako ila umeandika mapuuza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…