DOKEZO Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wanatakiwa kuchukua hatua nao tuko nao tunalalamika?

Kwisha habari yetu. Nyie Makamanda wastaafu hata sitawapa pole kuleni za uso tu
Mtaani tunaambiwa hawa watu wana serikali yao,inamaana wana kilakitu na mishahara wanajipangia,nashindwa kuelewa wameshindwa kumwambia waziri wao wa jeshi,achote mahela kwenye B.O.T ya jeshi,pasipo sisi raia tunaolipa kodi na tuna B.O.T yetu na mawaziri kujua?
Mbona mambo yanakua hivi.... au inakuaga namna?
 
Hii siyo kwao tu nadhani imeibuka kwa kila mstaafu,,,, kuna mzee wangu nmoja juzikati kalalamika sana anasema wameambiwa hakuna kiinua mgongo ni maelekezo toka juu
 
Hii siyo kwao tu nadhani imeibuka kwa kila mstaafu,,,, kuna mzee wangu nmoja juzikati kalalamika sana anasema wameambiwa hakuna kiinua mgongo ni maelekezo toka juu
Msisitize apewe maelezo Kwa maandishi.

Ndige ndige kyoma.!!!
 
Naomba kuuliza hii inamaana wapo wanajeshi walioshiriki vita na wanadai
 
Wanasiasa mnaopewa nafasi ya uongozi kuweni na utu.
 
Kuna mzee wa miaka 70 anasema hajalipwa kiinua mgongo je kuna ukweli? Naona kama kuna mfanano wa kisa hiki
 
Sisi watz tumerogwa, hapo unaweza Kuta viongozi wa jeshi baada ya kuona hii taarifa watawasaka wahusika wawatie adabu nchi ngumu sana hii.
 
Hapa Nchini utathaminika na kusikilizwa ukiwa kazini tu! Wanao tesa waTz wenzake nae yupo kwenye foleni ya kuja kulalamika baadae. Dahh pole san, ni wengi wanalalami
 
Kikokotoo ni sheeda! Serikali irudi jikoni, ibadili fomula ya kikokotoo, vinginevyo kutakuwa na mgogoro katika utumishi wa umma, maana kila mmoja ni mstaafu mtarajiwa!
 
Ukishastaafu Tz unapoteza kila kitu: umuhimu, hadhi, heshima, stahiki, n.k. Unabakia mnyonge. You’re on your own.

Nje ya ajira hakuna cha ujeshi, u polisi wala nini. Hata ofisi yako ya zamani unaingia kwa kuinamisha mabega na kuunganisha mikono. Unakuwa mpole kwa wote. Fikiria wanajeshi wastaafu wanaomba huruma kupatiwa stahiki zao!

Hiyo ndiyo CCM. Imejua kuwagawa wananchi kwa fursa na malipo yasiyozingatia uhalisia wa majukumu, weledi na taaluma. Kazi kwa Watanzania wanaoendelea kucheka na nyani. Kila mtu asubiri kuvuna mabua peke yake siku yake ikiwadia.
 
Waziri mwenye dhamana alijibu hoja kiwepesi sana kwamba wastaafu wote wa JW walishalishalipwa jambo ambalo si kweli
 
Poleni!!

Hayo ni matokeo ya kuilea CCM, kusaidia kubaki madarakani .

Wanaiba kura mnawalinda,mnashiriki kuibia haki ya Wapinzani!!

Huu ni wito wengine walioko jeshini wajifunze wakati wa Uchaguzi watende haki, alioshinda wasimamie atangazwe, huo ndio utakuwa mwisho wa mambo ya KIJINGA ya kudhurumiwa haki zao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…