DOKEZO Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
poleni. kumbe watanzania wote ni wahanga tu, ndio maana tunatakiwa kuwa na umoja likija suala la kitaifa, tukisema katiba mpya au marekebisho ya sheria ninyi wenzetu kwenye sekta za jeshi mjue inawahusu pia, mkitumwa kupiga virungu watu pigeni mkijua mnapiga watu wanaowapigania ninyi pia. tuwe wanadamu halisi, wakweli, tusio wanafiki kwenye mambo ya siasa. Mungu awasaidie, nawale waliobaki wajifunze toka kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…