Rais Samia, Waziri mkuu, vijana wa TAESA wanateseka toka January hawajapokea mshahara, tusaidieni jamani

Rangooo

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2022
Posts
243
Reaction score
408
Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti hupati, tusaidieni jamani.
 
Mshahara au posho.

Taesa ni chama cha wahuni
 
Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti hupati, tusaidieni jamani.
Ukitoa mada jaribu kueleza in details siyo wote wanajua TAESA ni kitu gani.
 
Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti hupati, tusaidieni jamani.
Em nielekeze mlifikaje huko.

Maana na m nahitaji kuomba lakin online system yao haifunguki.

Wasiponipa posho tunashikana mashati [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aah kaka huku hakufai ni utopolo tu
 
Awa w2 wa taesa wawe serious kidg maana awa vijana tumewapokea na wanateseka sana wanageuka omba omba kwenye vituo tunaomba wawaingizie vijana wa w2 pesa
 
Oh jmn sisi enzi zetu ilikuwa tarehe 27 tu kitu kishasoma duh. Poleni ase
 
Yote haya kisa kujazia CV duuh ..afu me nlkua najuw sio lazima wakulipe ni sawa na ume jitolea tu
 
Back
Top Bottom