Mshahara au posho.Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti hupati, tusaidieni jamani.
Ukitoa mada jaribu kueleza in details siyo wote wanajua TAESA ni kitu gani.Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti hupati, tusaidieni jamani.
Em nielekeze mlifikaje huko.Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti hupati, tusaidieni jamani.
Nataka niuone huo utopolo MkuuAah kaka huku hakufai ni utopolo tu
Ina maana hiko kijiwe ndio mmekigeuza ofisi kabisa.
Sio fair miez 2 mtu anaishije..Awa w2 wa taesa wawe serious kidg maana awa vijana tumewapokea na wanateseka sana wanageuka omba omba kwenye vituo tunaomba wawaingizie vijana wa w2 pesa