Pre GE2025 Rais Samia: Wazo la ‘Upatu’ la Wachekeshaji laweza kuwa na manufaa kwa SADC

Pre GE2025 Rais Samia: Wazo la ‘Upatu’ la Wachekeshaji laweza kuwa na manufaa kwa SADC

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Katika hali ya utani, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wazo lililotolewa na wachekeshaji la kucheza mchezo wa ‘upatu’ linaweza kuwa zuri endapo likibadilishwa na kutafutiwa namna bora ili kusaidia masuala ya kifedha ya nchi za Kiafrika.

Rais Samia amesema wazo hilo likichukuliwa kitofauti litakuwa na mchango wa kujitegemea kifedha, kama wakikubaliana na viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuunda mfuko wao.

Soma Pia: Rais Samia ashiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania. Na kupewa tuzo ya Champion of Comedy

Rais Samia ameyasema hayo usiku wa leo Jumamosi usiku Februari 22, 2025 katika hafla ya utoaji Tuzo za Wachekeshaji Tanzania.

 
Sijui watu wengine wanapataje nafasi kubwa kuongoza nchi!.
 
Back
Top Bottom