Tatizo la nchi yetu ni viongozi wengi ni wabinafsi nilishangaa kwa utamaduni mfano wa kuwajengea wa Raisi wastaafu mahekalu kwa pesa ya walipa kodi na kulipa wenza wao wakati hii sio kazi ya kulazimishwa.
Rais Samia anatakiwa aweke nchi mbele mwenzake Ruto pamoja na tofauti kubwa ya Odinga wameweka nchi mbele. Wamefanya Chaguzi huru kwa maono ya kimataifa na kwao Kenya ni Kwanza.
Hapa Tanzania Rais anaweka mkwe wake kwenye wizara kwa kazi moja tu kuiba kura kwa CCM. Cha kusikitisha wanaiba mpaka kura za mjumbe wa kikiji!. Sasa ukiangalia vizuri nani hasa ni mnufaika wa wizi?
Mnafanya kazi kwa manufaa ya nani kama wananchi hawawezi kuchagua mtu wao. Kama kweli nyie ni wazalendo kwanini mnapiga vita tume huru na chaguzi huru bila kujali vyama? Nani hasa ni mfaidika kama watu wasipokuwa huru?
Kwa Dunia ya Leo bado matukio ya utekaji yanaendelea hasa kwa wapinzani kijinga jinga na mpaka kuwaua.
Sisi tumekaa kuwacheka wenzetu wana ukabila lakini wameweka nchi mbele na sasa wanashughulikia nchi. Rais Samia badala ya kuwekeza kwenye umoja sasa utatupeleka kwa mwamko wa kisiasa kwasababu vijana wameanza kuchoka kiki na ujinga jinga.
Lakini kibaya zaidi hata yale mambo ambayo hayana vyama kama Rushwa Rais ameacha kupigana na wala rushwa kwasababu ndiyo machawa wake. Mpaka leo mkataba ambao Januari Makamba alisimamia wa Gas hauja siginiwa kwasababu viongozi wako wanatafuta Norway iwape 10% na wamekataa kata na Watanzania hawafaidiki kwasababu ya watu wachache wala rushwa.
Haya yote wakina Lissu watayaleta mbele ya wananchi. Lakini kikubwa weka nchi mbele weka chaguzi huru , tume huru ili wananchi waelekeze nguvu kwenye maendeleo ya nchi