Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Hua nakuheshimu sana Mkuu lakini hata kama ni uchawa sasa umefika kwenye ukunguni kabisa... yaani ung'ang'anizi wa hoja...Kwani Kila Kiongozi ananunuliwa V8? Hizo ni chache Kwa viongozi wa ngazi ya Mkoa kwenda Juu.
Unadhani zisiponuniliwa ndio maisha yatakuwa Mazuri? Maana hata bil.100 hazifiki.
Hukupaswa kabisa kutetea hoja ya viongozi kununua magari ya kifahari wakati maelfu kwa mamilioni ya watanzania wanakufa kwa kukosa huduma bora za afya. Hiyo bilioni 100 ni pesa ndogo??? Inamaana hazitoshi kufanya jambo?? Leo Trump amekata misaada ya "kiafya" kwa Tanzania... Je ulijipanga kwa hilo??? Hizo bilioni 100 ambaomzo unaona chache zisingefanya jambo??? Kama nchi toka zamani ingeacha utegemezi wa namna hii na kuweka mikakati ya kujitegemea unadhani hizo bilioni 100 zisingefaa kitu???
Mkuu think before post!!