Kwa nini wanunuliwe ma V8, na kulipana mapension hadi wake wa viongozi.
Kiongozi mstaafu aliyechuma mapesa mengi kwa wizi na ufisadi bado analipwa pension, ananuliwa gari, anabadilishiwa walinzi, analipiwa mishahara wafanyakazi wake binafsi kama sekretari, dereva n.k kwani pesa zake za pensheni zinafanya kazi gani?
Hizo billion 10 kwa mfano ulizosema za v8 zingepelekwa kwenye kutengeneza scheme za umwagiliaji wa kilimo ungegusa maisha ya watanzania wangapi wanaotegemea kilimo cha msimu wa mvua?
[/QUOTE angekuwepo magu ningemshauri atengeneze mindset upya kuwa uongozi ni wito sio njia ya kuusaka utajiri.