Rais Samia weka Tanzania mbele, mbona mwenzako Ruto ameweza!

Hapa Tanzania Rais anaweka mkwe wake kwenye wizara kwa kazi moja tu kuiba kura kwa CCM.
Hivi huyo jamaa alikuwa nani wakati wa Magu ?

Alienda mwenyewe kwao kugombea ubunge ? Au Magu alimptisha kinguvu kwa ombi la Vice President ?
 
Tanzania ndio Nchi inauza umeme Kwa watu wake Kwa bei ya chini tena ya Ruzuku kuliko Nchi zote.

Maisha ya Cha Bure yanalemaza.
 
Tanzania ndio Nchi inauza umeme Kwa watu wake Kwa bei ya chini tena ya Ruzuku kuliko Nchi zote.

Maisha ya Cha Bure yanalemaza.
We unazungumzia nini nimekwambia gharama za umeme zishuke, sio kupiga soga kwamba unauza gharama nafuu uhakika huna nimesema tofauti ya kuuza nje na ndani kaulize wale wa mipakani ambao wananunua umeme kutoka kwetu mfano mdogo watu wazambia na wale wamalawi wanauziwa umeme kutoka kwetu kwa shilingi ngapi kwa unit? Kisha angalia sisi wenyewe tunauziwa umeme shilingi ngapi kwa unit? Ukimaliza hapo njoo tuzungumze sio kupiga mapambio hapa
 
Hatuuzi umeme Kwa yeyote Bali tunanunua umeme kutoka Baadhi ya mataifa ,hata Sasa Niko mkoa wa mpakani.
 
Tatizo Rais amezungukwa na watu wanaotaka masilahi yao binafsi
 
Hatuuzi umeme Kwa yeyote Bali tunanunua umeme kutoka Baadhi ya mataifa ,hata Sasa Niko mkoa wa mpakani.
Mkoa gani wa mpaka? Wewe jamaa hujui hata masuala ya Nchi yako nenda kamuulize Waziri wako wa Nishati atakuambia ni Nchi gani tunawauzia umeme kwa bei rahisi
 
Mkoa gani wa mpaka? Wewe jamaa hujui hata masuala ya Nchi yako nenda kamuulize Waziri wako wa Nishati atakuambia ni Nchi gani tunawauzia umeme kwa bei rahisi
Wewe hujui kitu nyumbu mkubwa.

Tunanunua umeme Uganda na Zambia
 
Kumbe wakati mwingine huwa unaweka uchawa kando?!
 
leo mkataba ambao Januari Makamba alisimamia wa Gas hauja siginiwa kwasababu viongozi wako wanatafuta Norway iwape 10% na wamekataa kata na Watanzania hawafaidiki kwasababu ya watu wachache wala rushwa.
Nakubaliana na mengi unayoyasema. Serikali ipo kimya kuhusu Rushwa, ufisadi, tatizo la maji, umeme kukatika, bima.

Hii issue ya gas na Norway ni ukweli. Kuna ushahidi?
 
 
Mwongo mkubwa,sijui umelishwa kasumba?
Kenya ni ngonjela tu.Watu waongo, walafi na vigeugeu wenye mitazamo ya mimi kwanza ni aibu kwa demokrasia ya kweli.
Kupata katiba mpya je wameiheshimu?
Mbona ni kesi za uporaji wa kura zisizoisha uchaguzi hadi uchaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…