Rais Samia yuko hivi na kuelewa hivi kuanzia leo



Nionavyo mimi, kama umekubali kufanya nae kazi Kumheshimu ni jambo moja la lazima litakalokuwezesha kufanya nae kazi na kumshauri kwa yale unayoona yanahitaji ushauri

Ukishamdharau atajua na lazima akushushughulikie maana wewe humfai wala hujawa msaada kwake
 
..Ssh amepata ujasiri baada ya kuwa raisi.

..asingepata hiyo nafasi angekaa kimya huku nchi inahujumiwa na genge la magufuli.
Kaka mimi noana sasa hivi tuache ushabiki coz Nchi yetu bado iko kwenye transitional period vema tujenge hoja stahiki ili zije kuwa msaada wa maono ya leo na kesho. Magufuri was an individual, serikalii tulio nayo iliundwa na jpm though Kuna wateule wachache wa mama. Jpm has already died but Tanzania inaishi kwa hiyo tusideal na individuals tupembue mizizi mifumo inayolifanya taifa letu kubabi nyuma huku wengine wakisonga mbele
 
JPM ndio mchawi, kaja kuuwa mifumo na kusema katiba si kipaumbele chake.

Aliitawala Tanzania kwa mkono wa chuma ma kuigeuza nchi ni mali yake binafsi.

Anatembea na begi limejaa pesa atagawa kwa ampendaye yeye, hazina ya Taifa aligeuza ni mali yake binafsi.

Serikali ikifanya jambo lolote anasema yeye ndio ametowa.

Bado naendelea kutowa sadaka ya shukrani kwa Mungu kutuondolea jahiri huyu na jitu katili kabisa.
 
Kwa sehemu fulani uko sahihi, lakini nadhani kosa lake kubwa ni pale alipoamimishwa kuwa akiondoa viongozi wakuu wa bandari na viongozi wakuu wa Wizara ya Ujenzi na kuweka wake ndipo mambo yote yatakwenda sawa, na bandari ya bagamoyo itajengwa na upigaji utaendelea. Alikuwa hajui kuwa upigaji wowote ni gharama kubwa kwa serikali.
 
Natumai kwa "kamanda wa anga" una maana ya Mbowe.

Kwenye hili ninakubaliana nawe moja kwa moja.

Mbowe alipoanza kuhoji kwa nini ombi lake la kukutana naye halitokei, na baada ya kujibiwa kiaina kwamba Katiba sio kipaumbele bali Ucumi kwanza...; na Mbowe kusema "Hawatakubali", hapo mama kichwa kilimzunguka kama pia. Akakumbuka hujuma zilizokuwa zimepikwa na Magufuli dhidi ya Mbowe.

Bila hata ya kujiuliza mara mbili juu ya ufanisi ule, mama akarukia kesi ile ili amwonyeshe Mbowe jinsi yeye Rais alivyo na madaraka juu yake. Mama hakutulia na kufikiria kwanza matokeo ya maamuzi yake hayo na jinsi yalivyoingilia msimamo aliokuwa amekwishaanza kuutekeleza, msimamo wa kujiondoa kwenye kivuli cha mtangulizi wake.

Sasa amebaki hajulikani anasimamia wapi hasa. Haki za wananchi, au ndio maneno ya mdomoni tu kwenye vihotuba vyake vifupifupi hivi visivyofafanua chochote.
 
Ukweli mtupu !
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu , ondoa shaka
 
Wamezoea kuendeshwa kama MAPUNDA.....

Mijitu isiyo na USTAARABU si ya kuivumilia......
Mliendeshwa kistaarabu badae mkawa mnaogopa hata kuvaa jezi zenu barabarani, mkawa watoto demka na kukosa maadili,
Jezi mlivalia kwenye vituo vya mikutano na kuzivua wakati mnaondoka, hiyo ndo iliikuwa poa sio?
Tulihangaika sana kutetea chama wakati mnao kula mema ya nchi mko huko mmetulia mnatu zoom tu.
 
Kwa hili la Mbowe mama kaingia mkenge kujipakaza kinyesi cha Magufuli.

Kwakuwa DPP ni wake aifute hiyo kesi tupunguze chuki katika Taifa.

Akichukiwa na upinzani na akichukiwa na nusu ya ccm ambao walikuwa wakiamini Magufuli ni kama mungu wao, mama hatoboi, parapanda litalia tu kwenda mawinguni.

Salama yake sasa hivi awapooze majeraha wapinzani watasimama naye dhidi ys uhujuma za Sukuma gang na kuwapasuwa kabisa watu kama Chakubanga.

Chakubanga anatamba sasa hivi kwa sababu upinzani roho zao zimeingia kutu, hawawezi kudeal na Chakubanga wanaona bora Chakubanga aendelee kumdharau na kumuhujumu mama tu maana mama mwenyewe hasomeki amekubali kutumika kijinga.
 
Si ulijipendekeza mwenyewe? Hapa unalialia nini sasa?

Unadhani wote tuna huo utumwa wa vyama? Jifunze kusimama kama raia huru.
 
Kwani huyu aliweza vipi?



Ellen Johnson Sirleaf
Image Source: BBC
 
Kwakweli mama astuke kwa hili kama bado ajastuka,kundi la chakubanga linatamba sababu wanajua wamefanikiwa kumchonganisha mama na wananchi na ndio maana madarasa ya uongozi hayaishi kwenye mitandao!!
 
Unafikiri hashauriwi? Kashauriwa sana lkn tatizo ni nani anaemshauri na ni wa jinsia gani. Anashauriwa hivi yeye anafanya vile. Suala la jinsia linamtesa sana kwani kwake yeye ni ishu.
 
hizi ni pumba tupu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…