Rais Samia yuko hivi na kuelewa hivi kuanzia leo

Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa niwaonyeshe.

Kwa kifupi, Mama akihisi(hata kimakosa) kuwa anadharauliwa, watu wanampanda kichwani au anagombanishwa na wananchi, anajenga chuki na kisasi na utaona mtu au watu fulani wanashughulikiwa kitu ambacho sio sahihi.

Yaani kwa mama, unaweza fanya mambo ya hovyo ila kama anaamini unamuheshima, basi utabaki salama.

Halikadhalika, unawaze kuwa unafanya jambo jema ila kama atahisi unamdharau, unam-pressurize,n.k, ataagiza au atabariki ushughulikiwe.

Kwa maneno mengine, hana au amekosa standard katika utendaji wake kwa baadhi ya mambo(sio mtu wa principle).Ni mtu anaendeshwa na matukio kwa kusikiliza hiki na kile then ana-react na bahati mbaya sometimes ana-react kimakosa.

Hiki ndio kimemgharimu Kamanda wa Anga ingawa hakuwa na kosa(udhaifu wa Mama unahusika), na ndio sasa kinaanza kuwagharimu kundi la Mwendazake wanaomlinganisha na Mwendazake kwa style ya kuonyesha kuwa Mama hatoshi..

Hata hii vita anayoianzisha sasa ni baada ya kuona aliowalinda ama hawana shukurani au wanataka kumgombanisha na wananchi kuwa hayuko serious vinginevyo wasingeguswa.

Bwana yule alietangulia mbele za haki, alipenda watu wanaomlamba miguu hata kama hawafai au ni waovu; Mama yeye anataka wanaomuheshimu bila kujali matendo yao au kama wanafaa au hawafai.

Mnaweza msinielewa, ila muda utawasaidia kumuelewa
Kwa kifupi, ni mtu wa “Personal vendettas”
 
Ni kweli. Hakuna mtu anapenda kudharauliwa. Mama aendelee na nsimamo huo ili waliomzunguka wajenge heshima na nidhamu. Huo ndio ustaarabu.
 
Hii nchi kipo kikundi kidogo tu cha watu kinachoamua namna ya wengi kuishi
Umetoa ya moyoni ndugu yangu lakini bado tuna ushabiki sana katika ujenzi wa hoja juu ya Rais aliepita na huyu tulie nae. Rais aliepita ndio engineer wa mifumo ya hovyo coz serikalii yake ilikuwa na opportunists wengi sana mpaka maprofesa wakongwe kama mzee jalalani. Kumbuka kaka serikalii ni ileile aliebadilika na Rais tu wateule wengi ni walewale hivyo we expect the narrow change. Wakati huu ni bora tumalize tofauti zetu, tuwe pamoja ili tujue ni wapi tulikosea na nini kifanyike ili kuondoa mizizi ya kutukuza individuals badala ya taifa
 
Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa niwaonyeshe.

Kwa kifupi, Mama akihisi(hata kimakosa) kuwa anadharauliwa, watu wanampanda kichwani au anagombanishwa na wananchi, anajenga chuki na kisasi na utaona mtu au watu fulani wanashughulikiwa kitu ambacho sio sahihi.

Yaani kwa mama, unaweza fanya mambo ya hovyo ila kama anaamini unamuheshima, basi utabaki salama.

Halikadhalika, unawaze kuwa unafanya jambo jema ila kama atahisi unamdharau, unam-pressurize,n.k, ataagiza au atabariki ushughulikiwe.

Kwa maneno mengine, hana au amekosa standard katika utendaji wake kwa baadhi ya mambo(sio mtu wa principle).Ni mtu anaendeshwa na matukio kwa kusikiliza hiki na kile then ana-react na bahati mbaya sometimes ana-react kimakosa.

Hiki ndio kimemgharimu Kamanda wa Anga ingawa hakuwa na kosa(udhaifu wa Mama unahusika), na ndio sasa kinaanza kuwagharimu kundi la Mwendazake wanaomlinganisha na Mwendazake kwa style ya kuonyesha kuwa Mama hatoshi..

Hata hii vita anayoianzisha sasa ni baada ya kuona aliowalinda ama hawana shukurani au wanataka kumgombanisha na wananchi kuwa hayuko serious vinginevyo wasingeguswa.

Bwana yule alietangulia mbele za haki, alipenda watu wanaomlamba miguu hata kama hawafai au ni waovu; Mama yeye anataka wanaomuheshimu bila kujali matendo yao au kama wanafaa au hawafai.

Mnaweza msinielewa, ila muda utawasaidia kumuelewa
Hakuna pahala uliwai andika kwa mkono wako nikashindwa kuelewa.mm
 
Back
Top Bottom