Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
 
Kesho ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Eti kipindi cha kumbukizi ya mkapa mama alikua wapi.

Wasukuma ni washamba yani wanamuona marehemu alikuwa Mungu kwao
 
Kesho ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Wanaompangia Rais ratiba wamuonee huruma.
 
Kesho ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Amesema waache wafu waomboleze wafu wenzao.

Zege halilali.
 
Kesho ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Mwache aende tushamjua sio mwenzetu huyo pengine angetuharibia sala na vijana wake wa chadema.
 
Kesho ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Kwanini ifanyike kila mwaka kwamba akifanyiwa kumbukumbu atarudi mtu ameenda ameenda tu maisha lazima yaendelee
 
Kesho ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Kama wewe ni ndugu mchochezi,hapa tuseme uchochezi au ulizo la kawaida 🤔
 
Kesho ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Kumbukumbu tunayo ya Nyerere tu,
 
Back
Top Bottom