Anataka ZANZIBAR iwe special zoneKwaiyo?
Hapo sawa nimeelewa mkuu.Anataka ZANZIBAR iwe special zone
Kuna ujumbe anajaribu kutuambia hapa.. Hii sio bure kuna kitu nyuma yakeUkiiangalia Zanzibar kama Zanzibar nipadogo lakini padogo penye mambo makubwa, mhalifu kutoka eneno lolote anaweza kuingia Zanzibar", Rais Samia ameyasema hayo alipokuwa akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Makamanda wa Polisi wa Mikoa/Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania(TPS) Moshi, tarehe 30 Agosti, 2022.
Chanzo: Mwananchi
Ni kweli kbsKuna ujumbe anajaribu kutuambia hapa.. Hii sio bure kuna kitu nyuma yake
Zanzibar wamelamba dume, kwa sasa wanaiongoza Tanzania na jasho la watanzania linawanufaisha wao.....Ananikumbusha maneno ya Nyerere, niliwahi kumsikia mahali akisema; "kama angekuwa na uwezo, angekikokota hicho kisiwa akakitupilie mbali"
Hii maana yake wazanzibari wataendelea kuwa chini ya huu muungano watake wasitake mpaka mwisho wa dahari.
"Kwa sasa"... baada ya hapo?!Zanzibar wamelamba dume, kwa sasa wanaiongoza Tanzania na jasho la watanzania linawanufaisha wao.....
Nitafurahi sana watanganyika wakidhibitiwa kuingia kule, maana mingi haina kazi ya kufanya kule wanakuona kama ulayaUkiiangalia Zanzibar kama Zanzibar nipadogo lakini padogo penye mambo makubwa, mhalifu kutoka eneno lolote anaweza kuingia Zanzibar", Rais Samia ameyasema hayo alipokuwa akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Makamanda wa Polisi wa Mikoa/Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania(TPS) Moshi, tarehe 30 Agosti, 2022.
Chanzo: Mwananchi
Yani mtu wa Dar es salaam aende Zanzibar aione kama ulaya labda wazee wenu walotoka unguja kuja Dar es salaam kuuza pweza na kachori ndo wataiona Tanganyika ulaya.Nitafurahi sana watanganyika wakidhibitiwa kuingia kule, maana mingi haina kazi ya kufanya kule wanakuona kama ulaya
Kwa hiyo wazanzibar hawana uwezo wa kujilinda?Anatoa sababu indirectly,za kwanini Muungano usivunjwe.
Ndiyo maana yakeKwa hiyo wazanzibar hawana uwezo wa kujilinda?
Baada ya hapo wataendelea kukwapua nafasi za mawaziri, jeshini vyeo vya juu, polisi vyeo vya juu, usalama vyeo vya juu, balozi, wakuu wa mashirika, n.k. na bila kusahau ni lazima raisi au makamu wa raisi awe mzanzibari.... huko mbele kutakuwa na raisi mZanzibar tena,,..... jamaa wamelamba dume .... Mtanganyika anachojisifu ni kwamba Zanzibar ni kama kamkoa lakini analalamika hawezi kupata ajira Zanzibar, hawezi kupata nafasu ya uongozi zanzibar, nk😂😂"Kwa sasa"... baada ya hapo?!
Baada ya hapo wataendelea kukwapua nafasi za mawaziri, jeshini vyeo vya juu, polisi vyeo vya juu, usalama vyeo vya juu, balozi, wakuu wa mashirika, n.k. na bila kusahau ni lazima raisi au makamu wa raisi awe mzanzibari.... huko mbele kutakuwa na raisi mZanzibar tena,,..... jamaa wamelamba dume .... Mtanganyika anachojisifu ni kwamba Zanzibar ni kama kamkoa lakini analalamika hawezi kupata ajira Zanzibar, hawezi kupata nafasu ya uongozi zanzibar, nk[emoji23][emoji23]