Rais Samia: Zanzibar ni eneo dogo lakini hatarishi

sankara25

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
389
Reaction score
789
Ukiiangalia Zanzibar kama Zanzibar nipadogo lakini padogo penye mambo makubwa, mhalifu kutoka eneno lolote anaweza kuingia Zanzibar", Rais Samia ameyasema hayo alipokuwa akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Makamanda wa Polisi wa Mikoa/Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania(TPS) Moshi, tarehe 30 Agosti, 2022.

Chanzo: Mwananchi
 
Kuna ujumbe anajaribu kutuambia hapa.. Hii sio bure kuna kitu nyuma yake
 
Ananikumbusha maneno ya Nyerere, niliwahi kumsikia mahali akisema; "kama angekuwa na uwezo, angekikokota hicho kisiwa akakitupilie mbali"

Hii maana yake wazanzibari wataendelea kuwa chini ya huu muungano watake wasitake mpaka mwisho wa dahari.
 
Zanzibar wamelamba dume, kwa sasa wanaiongoza Tanzania na jasho la watanzania linawanufaisha wao.....
 
Ukiiangalia Zanzibar kama Zanzibar nipadogo lakini padogo penye mambo makubwa, mhalifu kutoka eneno lolote anaweza kuingia Zanzibar", Rais Samia ameyasema hayo alipokuwa akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Makamanda wa Polisi wa Mikoa/Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania(TPS) Moshi, tarehe 30 Agosti, 2022.

Chanzo: Mwananchi
Nitafurahi sana watanganyika wakidhibitiwa kuingia kule, maana mingi haina kazi ya kufanya kule wanakuona kama ulaya
 
"Kwa sasa"... baada ya hapo?!
Baada ya hapo wataendelea kukwapua nafasi za mawaziri, jeshini vyeo vya juu, polisi vyeo vya juu, usalama vyeo vya juu, balozi, wakuu wa mashirika, n.k. na bila kusahau ni lazima raisi au makamu wa raisi awe mzanzibari.... huko mbele kutakuwa na raisi mZanzibar tena,,..... jamaa wamelamba dume .... Mtanganyika anachojisifu ni kwamba Zanzibar ni kama kamkoa lakini analalamika hawezi kupata ajira Zanzibar, hawezi kupata nafasu ya uongozi zanzibar, nk😂😂
 
Wazanzibar wanaifaidi sana Tanzania wanavuna mabilion na mabilion uku wakiendelea kulalamika kinafki

Mitanganyika inaishia kujigamba Zanzibar ni ki wilaya
Baada ya hapo wataendelea kukwapua nafasi za mawaziri, jeshini vyeo vya juu, polisi vyeo vya juu, usalama vyeo vya juu, balozi, wakuu wa mashirika, n.k. na bila kusahau ni lazima raisi au makamu wa raisi awe mzanzibari.... huko mbele kutakuwa na raisi mZanzibar tena,,..... jamaa wamelamba dume .... Mtanganyika anachojisifu ni kwamba Zanzibar ni kama kamkoa lakini analalamika hawezi kupata ajira Zanzibar, hawezi kupata nafasu ya uongozi zanzibar, nk[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom