Rais Samia zuia vibali vya chakula kwa sasa, utalaumiwa lakini Taifa litakukumbuka kama mkombozi wa kiuchumi

Kama hujauza mchele uliowalangua Wakulima na sasa unajifanya kujiliza hapa imekula kwako. Wewe na Bashe wako matapeli mnaibia Wakulima kwa kununua mpunga 45k wakati wa mavuno Leo mnauuza 210k.
 
Mtoa mada umeshiba huijui njaa...
Tuulize sisi tunaoishi kijijini huku tukusimulie maisha ya huku
 
watakuelewa wachche wanaojielewa ila umetoa bonge la point toka sasa najipanga kwa ajili ya kilimo msimu ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…