GE2025 "Rais Samuya, hakutakuwa na Nywinywinywi". Kikwete alimuingiza chaka Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Mambo tmya kusema watu wanaopingana na uchaguzi wa mwaka huu watekwe, ni ishauri mbovu. Wameteka hadi wamwchoka.. Mambo yamebadika. Unatuteka wengine wwakina sisi ndo kwanza wamezaliwa leo Muhimbili. Watapewa stori zetu kwenye makaburi yetu siku ya kusafisha. Kwamba tulimpiga Mzanzibari wa Kizimkazi tukauawa
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
We toka ukachapwe uvunjwevunjwe kufa hautakufa ila hata hao wanao watakuona mpumbavu sana tu kushindana na mamlaka zenye vyombo vyote vya moto na ruksa kukubwagaza.
Zimebaki siku 4,
Jinga kabisa.
Hivyo vyombo ni vya waTanzania. Vuta subira kidogo utaona atakayevunjwa miguu ni nani!
Tena atakuwa na bahati sana endapo kuvunja miguu pekee ndiko atakako fanyiwa. Lakini mbaya zaidi hata wajukuu zake itakuwa ni aibu kusikia habari zake; habari za uovu aliowatendea waTanzania.
 
Ni siku 4 tu zimebaki mwana we kaandamane tu.
 
Yaani figganigga naye kawa mjinga kiasi cha kuingizwa cha like na Mange. Yaani kamange kale kawe na uwezo wa kuangusha Serikali! Hahahaha
Tatizo linaanzia hapo. Unahisi unaweza nipangia nini nifanye kwa uchaguzi wa kisiasa? Unapote muda hata kutukana.. Tangu 2008 natukanwa hapa jf, unahisi wewe wanababaisha? Wala siwezi kukujibu tusi sababu huna malezi.

 
Ukiondoa kutumia lugha chafu ya matusi, kwa uwezo wa akili na maarifa Mange amemzidi mbali saaana sa100!!.
What if lugha chafu na matusi ndio matokeo ya unachokiona kama akili kwake? Unadhani akiondoa hivyo atabaki kuwa Mange huyo au mwingine? Kwa msingi huo huwezi kuwapima akili kwa pamoja. Tafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…