Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Ndugai ni mwizi kama report za CAG zilivyoonesha huko nyuma, na pia anamtumia mkewe ambae ni ded wa Bahi kuliibia taaifa na kutumia uspika wake kuwatisha TAMISEMI wasimchukulie hatua!!

Ndio maana tunamsihi Ummy Mwalimu kuwa asiwe kama Jaffo aliyekuwa muoga kumchukulia hatua yule mama kwa sababu ya kumuogopa Ndugai.

Sio siri kuwa Ndugai kwa ufisadi wake hampendi Rais wetu kwani ameonesha utofauti wa jinsi anavyotaka nchi iendeshwe tofauti na mnafiki Ndugai ambaye alikuwa beneti na mwendazake na leo anampinga!!
 
Tetesi isiiyo na tija hii. Kwa Tanzania bado sana.

Ndugai kama ana ubavu aanze kwanza mchakato wa kuvibadilisha baadhi ya vifungu vya Katiba vinavyompa madaraka Rais (na Mwenyekiti wa CCM) kulithibiti Bunge/Wabunge wa CCM
 
Back
Top Bottom