Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Tuwape walinzi wetu, tuwape gari zetu, tuwape madereva, tuwalipe posho zetu, alafu walete ujinga?.

Mbona kila kinachoendelea tunakifahamu. Watu niliotaja hapo juu hawakuwekwa kwa bahati mbaya
Na katibu pia!
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Mama tunataka kwenda mbali na wewe,lisemwalo lipo na Kama halipo laja,mwalimu aliwahi kusema mke wa mfalme hapaswi hata kuhisiwa ugoni na anakuwa amepoteza sifa za kuwa mke wa mfalme, na hi haina tofauti na uhaini,;
Huyo mtu futa uwanachama ,na wasaidizi wako karibu Kama wananukia harufu hiyo futa pia,
Vunja Baraza la mawaziri nenda na new team kwa zaidi ya asilimia 75.
Mama kumbuka hili Sasa Ni battle la kuwahiana na nyote mna nguvu,waoneshe mamlaka ya Urais Ndio the most Top ranken na iwe fundisho,mungu amekupa mtihani ambao unakwenda kukuimarisha Sasa.
All the best Dear Mama.
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Aiseee..... It was foretold;!!!??
 
Mkuu, mie nipo upande wa mh. Mama..

Nilichoshwa sana na vitimbi vya jiwe na genge lake (akiwemo huyo ndugai).

Lakini hilo halinifanyi niache kusema kweli. Kwa mujibu wa Katiba, rais anaweza kuwa 'impeached' na bunge, ndo hiko I meant.

Ila sitounga mkono such a move kwa mazingira ya sasa.

Kwanza ndugai ndo wa kupumzishwa maana kavunja Katiba mara nyingi, the latest ikiwa sakata la akina mzee Halima
Waswahili wanasema ngoma ikilia sana mwisho hupasuka. Ndicho kinacho mtokea Supukali Ndugai.
Ndugai kwa zaidi ya 5 yrs amelichezea Bunge sana. Amevunja Katiba, amekiuka kanuni na taratibu za Bunge mara kadhaa Bunge na Watz wako kimya......!!!
Now is the high time to get rid of Ndugai @ any cost. Enough is enough.

Kama Ndugai anakosa chembe ya aibu ya KUJIUZULU MARA MOJA BASI KANUNI ZA BUNGE KUMPIGIA KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NAYE( IMPEACHMENT), NDUGAI LAZIMA ANG' OLEWE KWA GHARAMA YOYOTE.
HAFAI KUENDELEA KUWA SPIKA.....!!!!
 
Ataweza kweli !!?? Hata hivyo waache watafunane tuu.
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Ndoto zako hizo za mchana kweupeee
 
Wabunge hao anaowamobilize ndo hawa akina Hamis kigwa leo moto kesho baridi aseee asipoteze muda wake watu wananjaa wanaangalia matumbo yao
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Kumbe ,, sasa ndugai hivi nini kilimdanganya asee?...!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom