Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Ili mpenyeze usukuma wenu 😏

Haitokaa itokee
Mkuu, mie nipo upande wa mh. Mama..

Nilichoshwa sana na vitimbi vya jiwe na genge lake (akiwemo huyo ndugai).

Lakini hilo halinifanyi niache kusema kweli. Kwa mujibu wa Katiba, rais anaweza kuwa 'impeached' na bunge, ndo hiko I meant.

Ila sitounga mkono such a move kwa mazingira ya sasa.

Kwanza ndugai ndo wa kupumzishwa maana kavunja Katiba mara nyingi, the latest ikiwa sakata la akina mzee Halima
 
Mkuu, mie nipo upande wa mh. Mama..

Nilichoshwa sana na vitimbi vya jiwe na genge lake (akiwemo huyo ndugai).

Lakini hilo halinifanyi niache kusema kweli. Kwa mujibu wa Katiba, rais anaweza kuwa 'impeached' na bunge, ndo hiko I meant
Kabla bunge letu feki halijachukua maamuzi hayo ya kijinga litavunjwa
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.

Ukisikia ramli chonganishi ndio hizi sasa[emoji6]
 
Kweli JF imekuwa dhoofu bin dhaifu. Hoja hii ipo Facebook kwa jina la Lwaitama ndio mnaileta huku eti kwa GT? Ahahahahahahahahh! Nacheka kwa dharau!!

Mlimpamba Mama na kumsema vibaya JPM sasa imebuma, mnataka kumchonganisha Mama na Wana CCM wenzake? Nayo hii itabuma. CCM itasimama imara! Mama atasimama imara na "Legacy" ya JPM itadumishwa daima!
 
Tuwape walinzi wetu, tuwape gari zetu, tuwape madereva, tuwalipe posho zetu, alafu walete ujinga?.

Mbona kila kinachoendelea tunakifahamu. Watu niliotaja hapo juu hawakuwekwa kwa bahati mbaya
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Kwanini ipigwe kura ya kutokuwa na imani?
 
Lisemwalo lipo, na kama halipo laja.
Nchi hii hakuna taarifa ya kupuuza,hata ukisikia mishahara imepanda basi jua taarifa imeanzia ndani,in this case,tuambieni kikao na gavana kinahusu nini,hayo mengine mapicha picha tuu.Maneno yenu tumejua mnaivizia mei mosi ipite ili mseme tulijua,ni miaka saba Sasa toka nyongeza ifanyike.
 
Mtu mnafiki ni hatari sana, na unafiki ni asili yake.
Ndio maana hata bunge letu limekuwa linachezewa na mhimili 'mwingine' watakavyo
 
kwani katiba ya ccm inasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app

haisemi

Ila ni utaratibu wao tu ili kulinda maslahi ya mkulu,, maana yake mkulu asipokuwa mwenyekiti wanaweza mfuta uanachama.... ila akiwa top figisu zinakuwa kubwa..

Nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama kipindi mwinyi ni Rais ila baadae akaamua kumuachia tu.,, ndipo mambo yalipobadilika hadi leo..

Mm nimesema kwa nijuavyo,, Wazee wa Lumumba mnaweza kuja kuweka sawa hili.
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Uliona mbali
 
Back
Top Bottom