antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Katiba inaruhusuTanzania hii Amiri Jeshi mkuu atolewe na Bunge?
Unaota?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba inaruhusuTanzania hii Amiri Jeshi mkuu atolewe na Bunge?
Unaota?
Mkuu, mie nipo upande wa mh. Mama..Ili mpenyeze usukuma wenu 😏
Haitokaa itokee
Kabla bunge letu feki halijachukua maamuzi hayo ya kijinga litavunjwaMkuu, mie nipo upande wa mh. Mama..
Nilichoshwa sana na vitimbi vya jiwe na genge lake (akiwemo huyo ndugai).
Lakini hilo halinifanyi niache kusema kweli. Kwa mujibu wa Katiba, rais anaweza kuwa 'impeached' na bunge, ndo hiko I meant
Si LiVUNJWE tu kabisa?Kabla bunge letu feki halijachukua maamuzi hayo ya kijinga litavunjwa
Tuwe na subira huenda mama anawachora tuSi LiVUNJWE tu kabisa?
Yaani unatonywa kuwa adui anajiandaa kukulisha sumu, afu unasubiri akulishe kwanza ndo uchukue hatua?!!!
kwani katiba ya ccm inasemajeNi swala la muda tu,, wasipompa hiko cheo ina maanisha kuwa wanataka kumtoa urais mwaka 2025.
CCM ina wenyewe.
Kurudi kwenye uchaguzi unadhani issue ndogo? sio rahisiHii ni hujuma, kama ndivyo soon bunge litavunjwa turejee kwenye uchaguzi.
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Kwanini ipigwe kura ya kutokuwa na imani?Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Nchi hii hakuna taarifa ya kupuuza,hata ukisikia mishahara imepanda basi jua taarifa imeanzia ndani,in this case,tuambieni kikao na gavana kinahusu nini,hayo mengine mapicha picha tuu.Maneno yenu tumejua mnaivizia mei mosi ipite ili mseme tulijua,ni miaka saba Sasa toka nyongeza ifanyike.Lisemwalo lipo, na kama halipo laja.
Uliona mbaliMama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.