Ndugai ni mwizi kama report za CAG zilivyoonesha huko nyuma, na pia anamtumia mkewe ambae ni ded wa Bahi kuliibia taaifa na kutumia uspika wake kuwatisha TAMISEMI wasimchukulie hatua!!
Ndio maana tunamsihi Ummy Mwalimu kuwa asiwe kama Jaffo aliyekuwa muoga kumchukulia hatua yule mama kwa sababu ya kumuogopa Ndugai.
Sio siri kuwa Ndugai kwa ufisadi wake hampendi Rais wetu kwani ameonesha utofauti wa jinsi anavyotaka nchi iendeshwe tofauti na mnafiki Ndugai ambaye alikuwa beneti na mwendazake na leo anampinga!!