Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Mabeyo yupo na kikosi imara na yuko na mama na halishamuhakikishia hilo, hyo ndugai na kundi lake watapigwa kata funua matata na utakuwa ndio mwisho wao. Ole wao.
 
Tatizo Mh Rais Samia Suluhu anafanya kazi na watu ambao waliji commit kwa mtu mwingine ambaye kwa sasa ni Marehemu.

Sasa watu kama hawa tulishasema kabisa watamsumbua sana mama kadri siku zinavyokwenda, alipaswa kuwapiga chini mapema kabisa aunde kikosi kipya kitakachomtii yeye. Cha ajabu wao badala ya kuchapa kazi wapo busy kumtetea Magufuli. This is insane
 
Waziri mkuu ndo anapigiwa kura ya kutokuwa na imani nae.
Rais anakuwa impeached. Na huo mchakato ni mgumu na mrefu kuliko hata kujaribu kumpigia waziri mkuu kura ya kutokuwa na imani nae.

Mama Samia is here to stay. Katiba hairuhusu rais kuondolewa kirahisi hivyo.
 
Kama ni kweli basi...
Kinachoendelea ni kuandaliwa mazingira ya kulivunja bunge ili turudi kwenye uchaguzi na tupate wabunge halali
 
Ukiswekwa korokoroni kwa kueneza taarifa ambazo hazina ukweli wowote na zinazoweza kuleta taharuki, unaanza kulialia kwamba Uhuru wa habari umeminywa.

Ukiambiwa uthibitishe pasi na shaka yoyote kwamba ni lini spika wa bunge alianza huo mchakato unaanza kulialia kwamba vyombo vya usalama vinatumia nguvu nyingi sana.

Nilichokuelewa hapa unachotaka kufanya wewe na genge lako kwa manufaa unayoyajua wewe ni kutaka kuwepo mgogoro baina ya hii mihimili miwili, kitu ambacho si rahisi kutokea kwa sababu nchi hii watu wanaokuzidi akili ni wengi sana.
 
Mwezi huu mwishoni wanamkabidhi mama uenyekiti wa chama, hivyo usihofu atawashughulikia tu kichamachama watatulia.
 
Haitakaa itokee kwa wabunge wetu wengi wanasifu tuu wanajua wakirudi kwenye uchaguzi upya hawatorudi bungeni tena.
 
Mngejua hata jeshi na usalama wa taifa upo Upande wa Magufuli mngeacha kumjaza mama ujinga Mpaka wabunge wanaongea Yale Jana ni sababu tu tayar wanajua upepo unavumia wapi ivyo mama yeye anatakiwa ajue cha kufanya Mapema
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Kura ya kutokuwa na imani na rais inaweza kusabaisha bunge kuvunjwa, 80% ya wabunge wa CCM waliopewa ubunge mezani hawatarudi bungeni na mama atapeta kwa kuunda team yake. Tunaombea hilo litokee.
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Hadi kufikia huko sidhani kama atakuwa mjinga kiasi hicho asivunje bunge.
Yaani wakianza uninva huo fasta anatangaza kulivunja bunge mbona simple sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyewe nimewahi kuwaza hivyo, inawekana kwa Sasa watu Fulani wanatengeneza mazingira ya kumwambia mama huko mbele tutakufanya hivi.

Mh. Rais mojawapo ya kazi za Bunge nibkuishauri serikali. Report ya CAG IPO mikononi mwa Bunge walishindwa kuja na hoja ya maana tumia hiyo Kama fimbo vunja Bunge.

Pili peleka msuada wa marekebisho ya katiba na tume ya uchaguzi ili wajue pia ukivunja Bunge hawatarudi bungeni maana mazingira yatakuwa tofauti na miaka yote.

Hapo mtaheshimiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…