Data za kukua kwa uchumi zinatolewa na Word Bank, BOT na TBS, ni numbers, and numbers don't lie. Kwenye ukuaji wa uchumi ni kweli uchumi wetu unakuwa kwa kasi ya asilimia 7%, sasa ukuaji huo unamfaidia nani hayo ni mengine.
hii ni issue ya uchunguzi wa kijinai ya kipolisi, kama unauhakika unajua kuwa anajua, na sio assumption tuu, karipoti kunako husika, ukiona hakuna hatua ndipo njoo ututhibitishie tuchagize apelekwe the Hague.
Hili ni issue ya jinai kila mtu anajua waliohusika ni watu wasiojulikana na jeshi letu la police linaendelea na uchunguzi. Sasa wewe mwenzetu kama unauhakika na haya kuwa unawajua hadi walio order, na ukitafutwa utathibisha, then lisaidie jeshi letu la polisi karipoti unachojua, kwenye hili la Lisu nilishauri.
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums
Kuhusu wasiojulikana hawa ni kina nani, tuli wa classify into two groups la wasiojulikana na 'wasiojulikana'
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums
Ila pia kufuatia Jeshi letu la polisi kutotoa mrejesho wowote, tukashauri humu kama serikali imeshindwa kuwabaini, iseme isaidiwe ila pia as a sign of good citizenship, una duty of care na obligation ya kuisaidia nchi yako jambo lolote ambalo unaweza kusaidia, hivyo nilitoa wito huu
WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums
Sikumbuki kama alisema ni fedha za ndani 100 %. Hata kama tunachangia asilimia moja then bado yuko right sio uongo.
P