Rais tafadhali kula kichwa cha RC Mtanda, kitendo alichofanya CCM Kirumba kimakuharibia kuelekea uchaguzi mkuu

Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
5,814
Reaction score
8,118
Kwa afya ya nchi yetu na chama chetu hususan katika kipindi hiki cha uchaguzi, alichofanya huyu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kama anataka kukuharibia. Ikikupendeza mpumzishe kwanza.

Kwa sasa, mpira unaleta mchango mkubwa sana kwenye amani, furaha na ustawi wa maisha yetu na kwa bahati wewe umekuwa mstari wa mbele kuhakikisha hilo lina
tokea ila inaonekana kuna wachache wanata kukuchania mkeka wako.

Please ikikupendeza, weekend ndio hii.

Daniel Zwangendaba, Adelaide
 
Hii ni mara ya tatu anatoa boko.. Nadhani imetosha sada
20241123_014520.jpg
 
Acha kukurupuka, mkuu wa mkoa wa mwaza, anatumikia wananchi wote wa mkoa wa mwanza, kuna wengine sio washabiki wa mipira! Mimi sijaona kosa la huyo RC! Acha ushabiki usio na tija! Kwa sababu ni mipira ndo sheria zisifuatwe???
Kwahiyo wewe unaona sawa anaposema aliwaagiza polisi halafu na yeye aliamua kwenda ili polisi wasilete taharuki? Wewe huoni huko ni kuigombanisha Serikali na wananchi kupitia jeshi la polisi kwamba wakienda kutekeleza wajibu wanalete taharuki?
 
Wewe unaona hilo ni kosa la kutenguliwa ukuu wa mkoa???? Au kuna lingine mkuu?? Watu wangekuwa wanafukuzwa kazi kwa makosa kama haya! Nchi hii tungekuwa na mafisadi kwenye ofisi za umma????
 
Kwa afya ya nchi yetu na chama chetu hususan katika kipindi hiki cha uchaguzi, alichofanya huyu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kama anataka kukuharibia. Ikikupendeza mpumzishe kwanza.

Kwa sasa, mpira unaleta mchango mkubwa sana kwenye amani, furaha na ustawi wa maisha yetu na kwa bahati wewe umekuwa mstari wa mbele kuhakikisha hilo lina
tokea ila inaonekana kuna wachache wanata kukuchania mkeka wako.

Please ikikupendeza, weekend ndio hii.

Daniel Zwangendaba, Adelaide
Acha majungu kwa mume wa dada yako we jamaa
 
Mikataba mibovu inaingia huko ninyi mpo busy na mamipira yaani mtu aondolewe kisa Simba/Yanga ugali ulishawadumaza Watanzania
Ni mambo ya ajabu sana! Wapinzani wameenguliwa sijaona mtu anasema mchengerwa aliwe kichwa ila mipira ndo watu wanaleta mambo ya ajabu hapa! Mipira mimi inanisaidia nini??? Hawa watu wamerogwa ndo maana tz vijana wengi wataendelea kulia lia ajira maana hawajitambui
 
Si

I ndiyo hapo mkuu hii nchi ina shida sana eti kisa simba na yanga tu
 
Mikataba mibovu inaingia huko ninyi mpo busy na mamipira yaani mtu aondolewe kisa Simba/Yanga ugali ulishawadumaza Watanzania
Muhindi wa kuchoma unakula ukiwa unausifia mtamu, ila nyuma ya keyboard ugali unauponda hatari, wapo pia wanaokushangaa unavyofakamia chipsi mayai, baga na piza ila hukupotezea tu. Jifunze kuwa na cultural diversity perception maana duniani haujaja kuwapangia watu namna ya kuishi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Mkeka unasubiri uchaguzi wa mitaa na vijiji uishe, wakuu wa wilaya, mikoa, DED wanaweza kuchekechwa
 
Kwa afya ya nchi yetu na chama chetu hususan katika kipindi hiki cha uchaguzi, alichofanya huyu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kama anataka kukuharibia. Ikikupendeza mpumzishe kwanza.

Kwa sasa, mpira unaleta mchango mkubwa sana kwenye amani, furaha na ustawi wa maisha yetu na kwa bahati wewe umekuwa mstari wa mbele kuhakikisha hilo lina
tokea ila inaonekana kuna wachache wanata kukuchania mkeka wako.

Please ikikupendeza, weekend ndio hii.

Daniel Zwangendaba, Adelaide
Wajinga wa Taifa, usha toa ushauri wa aina hii kwa Wala rushwa walio jazana? Taifa limejaa mazezeta
 
Ni mambo ya ajabu sana! Wapinzani wameenguliwa sijaona mtu anasema mchengerwa aliwe kichwa ila mipira ndo watu wanaleta mambo ya ajabu hapa! Mipira mimi inanisaidia nini??? Hawa watu wamerogwa ndo maana tz vijana wengi wataendelea kulia lia ajira maana hawajitambui
Yaani Watanzania wao wapo busy na Uchaguzi na teuzi kuliko kitu kingine chochote huku watafuna keki ni wale wale tu mtu akifika ngazi ya juu ya Usalama wa Taifa wa Mkoa akitoka Mkoa wanampa Ubalozi unakuta muhuni anamwombea njaa badala ya kujiangalia yeye kwanza..
 
Back
Top Bottom