MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Shida network alionayo,kingine mpulizaji sana ndio maana mauzauza yanamfuata halafu anaenda puliza,Hii ni mara ya tatu anatoa boko.. Nadhani imetosha sadaView attachment 3159271
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida network alionayo,kingine mpulizaji sana ndio maana mauzauza yanamfuata halafu anaenda puliza,Hii ni mara ya tatu anatoa boko.. Nadhani imetosha sadaView attachment 3159271
Huwa siwaelewi vijana wa kitanzania kwa kweli akili zao zimejaa mambo ya mipira na kubet lakini masuala ya kitaifa hawajali kabisa. Nchi kubwa na kongwe lakini vijana wake wana mambo ya kijima kabisa. Mpira unatusaidia nini? Hata wanaotupigania kututetea nawasikitikia maana wanatetea watu wasiojitambua. Media zinatangaza mpira muda wote. Habari za kitaifa ni dakika chache ila za mpira ni kutwa nzima. Nchi imedumaa watu wako bize na mpira. Hata huyo rc nae ndo walewale tu anawaza mpira na majezi ya yanga.Ni mambo ya ajabu sana! Wapinzani wameenguliwa sijaona mtu anasema mchengerwa aliwe kichwa ila mipira ndo watu wanaleta mambo ya ajabu hapa! Mipira mimi inanisaidia nini??? Hawa watu wamerogwa ndo maana tz vijana wengi wataendelea kulia lia ajira maana hawajitambui
Kwa nini hizo kelele mnazopiga kwenye simba na yanga msimsaidie Soka kupiga kelele ili nguvu iwe kubwa,kelele za kwenye simba na yanga zitakupeleka wapi?Kuhusu mkataba mibovu mbona kesi zilifika Hadi mahakamani? Ulitaka watu wafanye Nini?. Akina Soka walimpiga kelele wakapotezwa, Sasa wewe ulitaka Nini kingine?. Mkuu wa Mkoa kakosea kuleta ushabiki kwenye kazi.
Inasikitisha sana, wakati mmiliki wa gorofa la kariakoo mpaka leo hatumjui na hatuoni mamlaka zikipigiwa kelele hivi kama anvyopigiwa huyu RC wa MwanzaMikataba mibovu inaingia huko ninyi mpo busy na mamipira yaani mtu aondolewe kisa Simba/Yanga ugali ulishawadumaza Watanzania
Jikite kwenye context ya reply yangu, naona hujaelewa LOGIC yangu, na hautaelewa!!!Kwani tafsiri ya maendeleo kwako ni ipi? Kuna sekta yenye mzunguko mzuri wa pesa kuizidi mpira kwa sasa duniani? Kuna sekta yenye mishahara minono kuizidi ya mpira duniani? Kwanini unaona mpira bado ni kitu cha ziada kwenye maendeleo?
mpira unafaida kubwa sana ukiwa unaujuwa lakini kama haujuwi ni taabu nyingine na ndiyo maana wanaona ni kitu cha kawaida. Hebu chukulia wachezaji na mashabiki zao wote wawe wavuta bange ingekuwaje hapo.Huwa siwaelewi vijana wa kitanzania kwa kweli akili zao zimejaa mambo ya mipira na kubet lakini masuala ya kitaifa hawajali kabisa. Nchi kubwa na kongwe lakini vijana wake wana mambo ya kijima kabisa. Mpira unatusaidia nini? Hata wanaotupigania kututetea nawasikitikia maana wanatetea watu wasiojitambua. Media zinatangaza mpira muda wote. Habari za kitaifa ni dakika chache ila za mpira ni kutwa nzima. Nchi imedumaa watu wako bize na mpira. Hata huyo rc nae ndo walewale tu anawaza mpira na majezi ya yanga.
Mpira kutokukusaidia wewe maana yake uwepo wako sio wa muhimu ikiwa masuala mengine yanaendelea kawaida tu.Ni maUshamba ni tatizo kubwa sana humu jukwaani.mbo ya ajabu sana! Wapinzani wameenguliwa sijaona mtu anasema mchengerwa aliwe kichwa ila mipira ndo watu wanaleta mambo ya ajabu hapa! Mipira mimi inanisaidia nini??? Hawa watu wamerogwa ndo maana tz vijana wengi wataendelea kulia lia ajira maana hawajitambui
Ni kweli mkuu lakini mpira wameupa airtime kuliko maswala ya kitaifa wakati vilabu vya mpira ni biashara za watu binafs sio mambo ya kitaifa. Vijana ukiwaambia maendeleo na rasili mali zetu hawaelewi. Hawajali tunu za taifa wala siasa za nchi yetu. Wanasema hayo mambo ya siasa hayawahusu hawajui kuwa siasa ndio inapanga wao waishi vipi. Wao ni mipira kubdt n.kmpira unafaida kubwa sana ukiwa unaujuwa lakini kama haujuwi ni taabu nyingine na ndiyo maana wanaona ni kitu cha kawaida. Hebu chukulia wachezaji na mashabiki zao wote wawe wavuta bange ingekuwaje hapo.
Mtanda sio mchapakazi, yule ni mwonevu na hua anaonea sana wanawake. Hata kazi zake ukimwangalia ni bendera fata upepo... Sema tu anajua kuhonga waandishi wa habari Ili wampe airtime. Na hata afanye kosa Gani hawezi kufukuzwa kazi hiyo sababu anasemaga kabisa yupo karibu sana na wakuu wastaafu na waliopo..Hata kama we ni Simba , Usiwe zwazwa.
Mtanda kutolewa Mara na kupelekwa Mwanza, ni Mfumo ndio ulioona anachapa kazi.
Mimi ni mwanasimba, ila namkubali Mtanda, kama ukiwahi kubahatika kufanya naye kazi, utakuja hapa uombe Radhia .