Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Tatizo la vyeo kwenda kwa wasiostahili ni kubwa sana katika nchi yetu.Hii ni mara ya tatu anatoa boko.. Ya pili ni ile kutoka kumtetea mfiraji.. Nadhani imetosha sadaView attachment 3159271
Kwahiyo wewe unaona sawa anaposema aliwaagiza polisi halafu na yeye aliamua kwenda ili polisi wasilete taharuki? Wewe huoni huko ni kuigombanisha Serikali na wananchi kupitia jeshi la polisi kwamba wakienda kutekeleza wajibu wanalete taharuki?Acha kukurupuka, mkuu wa mkoa wa mwaza, anatumikia wananchi wote wa mkoa wa mwanza, kuna wengine sio washabiki wa mipira! Mimi sijaona kosa la huyo RC! Acha ushabiki usio na tija! Kwa sababu ni mipira ndo sheria zisifuatwe???
Wewe unaona hilo ni kosa la kutenguliwa ukuu wa mkoa???? Au kuna lingine mkuu?? Watu wangekuwa wanafukuzwa kazi kwa makosa kama haya! Nchi hii tungekuwa na mafisadi kwenye ofisi za umma????Kwahiyo wewe unaona sawa anaposema aliwaagiza polisi halafu na yeye aliamua kwenda ili polisi wasilete taharuki? Wewe huoni huko ni kuigombanisha Serikali na wananchi kupitia jeshi la polisi kwamba wakienda kutekeleza wajibu wanalete taharuki?
Acha majungu kwa mume wa dada yako we jamaaKwa afya ya nchi yetu na chama chetu hususan katika kipindi hiki cha uchaguzi, alichofanya huyu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kama anataka kukuharibia. Ikikupendeza mpumzishe kwanza.
Kwa sasa, mpira unaleta mchango mkubwa sana kwenye amani, furaha na ustawi wa maisha yetu na kwa bahati wewe umekuwa mstari wa mbele kuhakikisha hilo lina
tokea ila inaonekana kuna wachache wanata kukuchania mkeka wako.
Please ikikupendeza, weekend ndio hii.
Daniel Zwangendaba, Adelaide
Shemeji yenu tunakula kichwa. Kaeni kwa kujiandaaAcha majungu kwa mume wa dada yako we jamaa
Ni mambo ya ajabu sana! Wapinzani wameenguliwa sijaona mtu anasema mchengerwa aliwe kichwa ila mipira ndo watu wanaleta mambo ya ajabu hapa! Mipira mimi inanisaidia nini??? Hawa watu wamerogwa ndo maana tz vijana wengi wataendelea kulia lia ajira maana hawajitambuiMikataba mibovu inaingia huko ninyi mpo busy na mamipira yaani mtu aondolewe kisa Simba/Yanga ugali ulishawadumaza Watanzania
Utapata faida gani ya yeye kuondolewa?Shemeji yenu tunakula kichwa. Kaeni kwa kujiandaa
I ndiyo hapo mkuu hii nchi ina shida sana eti kisa simba na yanga tuNi mambo ya ajabu sana! Wapinzani wameenguliwa sijaona mtu anasema mchengerwa aliwe kichwa ila mipira ndo watu wanaleta mambo ya ajabu hapa! Mipira mimi inanisaidia nini??? Hawa watu wamerogwa ndo maana tz vijana wengi wataendelea kulia lia ajira maana hawajitambui
Muhindi wa kuchoma unakula ukiwa unausifia mtamu, ila nyuma ya keyboard ugali unauponda hatari, wapo pia wanaokushangaa unavyofakamia chipsi mayai, baga na piza ila hukupotezea tu. Jifunze kuwa na cultural diversity perception maana duniani haujaja kuwapangia watu namna ya kuishi.Mikataba mibovu inaingia huko ninyi mpo busy na mamipira yaani mtu aondolewe kisa Simba/Yanga ugali ulishawadumaza Watanzania
Wajinga wa Taifa, usha toa ushauri wa aina hii kwa Wala rushwa walio jazana? Taifa limejaa mazezetaKwa afya ya nchi yetu na chama chetu hususan katika kipindi hiki cha uchaguzi, alichofanya huyu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kama anataka kukuharibia. Ikikupendeza mpumzishe kwanza.
Kwa sasa, mpira unaleta mchango mkubwa sana kwenye amani, furaha na ustawi wa maisha yetu na kwa bahati wewe umekuwa mstari wa mbele kuhakikisha hilo lina
tokea ila inaonekana kuna wachache wanata kukuchania mkeka wako.
Please ikikupendeza, weekend ndio hii.
Daniel Zwangendaba, Adelaide
Yaani Watanzania wao wapo busy na Uchaguzi na teuzi kuliko kitu kingine chochote huku watafuna keki ni wale wale tu mtu akifika ngazi ya juu ya Usalama wa Taifa wa Mkoa akitoka Mkoa wanampa Ubalozi unakuta muhuni anamwombea njaa badala ya kujiangalia yeye kwanza..Ni mambo ya ajabu sana! Wapinzani wameenguliwa sijaona mtu anasema mchengerwa aliwe kichwa ila mipira ndo watu wanaleta mambo ya ajabu hapa! Mipira mimi inanisaidia nini??? Hawa watu wamerogwa ndo maana tz vijana wengi wataendelea kulia lia ajira maana hawajitambui
Kila mtu achanngie anachoweza kuchangia kwenye taifa. TusipangianeWajinga wa Taifa, usha toa ushauri wa aina hii kwa Wala rushwa walio jazana? Taifa limejaa mazezeta
Mshana Jr, umepiga za uso! Lina masifa sana!Hii ni mara ya tatu anatoa boko.. Ya pili ni ile kutoka kumtetea mfiraji.. Nadhani imetosha sadaView attachment 3159271
Amani yetu itaendelea kutawala na kuepukana na viongozi wenye kukurupukaUtapata faida gani ya yeye kuondolewa?