Rais tafadhali kula kichwa cha RC Mtanda, kitendo alichofanya CCM Kirumba kimakuharibia kuelekea uchaguzi mkuu

Yani aondolewe kwa sababu ya Simba na Yanga
Itakua ni Ujinga uliopita kikomo huo
 
Acha kukurupuka, mkuu wa mkoa wa mwaza, anatumikia wananchi wote wa mkoa wa mwanza, kuna wengine sio washabiki wa mipira! Mimi sijaona kosa la huyo RC! Acha ushabiki usio na tija! Kwa sababu ni mipira ndo sheria zisifuatwe???

Kama hujaona kosa ni wewe, acha waliona kosa waongee. Tangu lini polisi wanatumwa kuvamia mazoezi ya timu.
 
Mikataba mibovu inaingia huko ninyi mpo busy na mamipira yaani mtu aondolewe kisa Simba/Yanga ugali ulishawadumaza Watanzania

Kuhusu mkataba mibovu mbona kesi zilifika Hadi mahakamani? Ulitaka watu wafanye Nini?. Akina Soka walimpiga kelele wakapotezwa, Sasa wewe ulitaka Nini kingine?. Mkuu wa Mkoa kakosea kuleta ushabiki kwenye kazi.
 
Mikataba mibovu inaingia huko ninyi mpo busy na mamipira yaani mtu aondolewe kisa Simba/Yanga ugali ulishawadumaza Watanzania
Mtoa mada The way alivyoandika, unaweza kufikiri labda ana haki ya kumshauri huyo Rais, mtu wa kumteua!

Yaani badala ya kufikiri namna ya kuipambania Katiba mpya ili tuondokane na hii Katiba mbovu ya mwaka 1977! Kwake yeye huyo RC akiondolewa, ndiyo faraja yake! Na yote hayo ni kwa sababu tu huyo RC ni shabiki wa Yanga, kwa bahati mbaya alienda kwenye eneo ambalo timu yake ya Simba inafanya mazoezi!!

Kuzishabikia hizi timu mbili kongwe nchini, kumewapumbaza watu wengi.
 
Kwa hiyo wapenzi wa Simba watamchukia Mama kis huyu RC shabiki wa Yanga? Leta sababu za msingi huu ni upuuzi umeandika
 
Hii ni mara ya tatu anatoa boko.. Nadhani imetosha sadaView attachment 3159271
Hahahhahaa unafikiri ni kazi nyepes kumtoa angalia hizo pete mbili Kwenye vidole vyake nakukumbusha sio za ndoa,

usione watu wanafanya madudu na wanadunda mjini Wana vitu vinavyowadundisha nafikiri ww Mshana sio mgeni Kwenye anga hizo 😭😭😭😭😭
 
Acha upumbavu,unawezaje kulinfanisha mchango wa umoja na amani katika mpira na wapinzani walioenguliwa?
Wakati mwingine muwe mnatumia akili ndio maana mnakosa mvuto kwa kuwa hamjui hata mahali pa kuingia na kutoka
 
Muda mwingi nabaki kuwasoma tu na hoja zao za kidumavu yaani wiki nzima wanajadili aliingia uwanjani au laa..halafu wanataka Nci iwe na maendeleo wanakuja Wageni wanafanikiwa kwenye ardhi yao wao wapo busy na Mkuu wa Mkoa kesho mkeka wa Rais kesho kutwa mkuu wa wilaya aisee na unakuta ni mtu mzima kabisa ana zaidi ya miaka 40 anaandika hivi vitu..
 
Ujinga wa mkubwa huu, hivi hizi team wameanza kujiona wanaweza kuamua siasa nchi hii? Rais akifanya lolote sababu ya huu upuuzi basi atakuwa katika viongozi dhaifu sana nchi hii. Mkuu wa mkoa kishasema kama kuna clip yoyote anaingia uwanjani basi yuko tayari kuwajibika. Yule ni mkuu wa mkoa kuwe na heshima kidogo afukuzwe kazi kwa mambo mengine lakini sio ya mpira. acheni ujinga mtafukuza wangapi? kesho mtasema Nchemba afukuzwe sababu Yanga, Waziri wa michezo afukuzwe sababu Simba. ondoeni upuuzi huu. mpira umeisha basi.
 
Mama yako na huyo RC wote kwangu hawapati kura yangu,
 
Simba na Yanga ni project ya CCM kudumaza akili za Watanganyika, kuna mambo mengi sana ya ovyo yanafanyika lakini huwezi kuta watu wanakuwa na msimamo wa pamoja kuyakemea lakini likija suala la Simba na Yanga watu wako tayari kufa na ndiyo maana hata siasa zimekuwa za ushabiki tu.
 
Kama hujaona kosa ni wewe, acha waliona kosa waongee. Tangu lini polisi wanatumwa kuvamia mazoezi ya timu.
Kulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani bila kujali nani aliyesababisha hivyo lazima polisi waende kufanya kazi yao. Mfano watu walifungiana ndani ya vyumba.
 
Mpira hauleti amani, ila UNAPUMBAZA WAJINGA waelekeze akili kwenye mpira nakuacha kujadili na kuangalia mambo hovyo yanayofanywa na Serikali kupitia frog 🐸 CHURA KIZIWI
Kwani tafsiri ya maendeleo kwako ni ipi? Kuna sekta yenye mzunguko mzuri wa pesa kuizidi mpira kwa sasa duniani? Kuna sekta yenye mishahara minono kuizidi ya mpira duniani? Kwanini unaona mpira bado ni kitu cha ziada kwenye maendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…