Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Amani inawezekana ila haki ni mtihani mkubwa sana kwa mafisadi walioko madarakaniView attachment 3391090
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya Mtakatifu Andrea Kagwa kanisa kuu jimbo katoliki Lindi.
Kwenye maombi waweke yeyote atakaepora haki baya limkuteView attachment 3391090
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya Mtakatifu Andrea Kagwa kanisa kuu jimbo katoliki Lindi.
Hiyo sio kazi ya kanisa katoliki kanisa linafanya maombi...wadai Reforms kabla ya uchaguzi.
..kuomba tunaomba miaka yote.
..hata 2019, 2020, na 2024, tuliombea haki na amani lakini uchaguzi uliibiwa.
"AMANI" bila "HAKI" inawezekana vipi?Amani inawezekana ila haki ni mtihani mkubwa sana kwa mafisadi walioko madarakani
Kwa hiyo nyinyi ndio wenye muhimu. Hiyo Tanzania mliinunua lini?Hiyo sio kazi ya kanisa katoliki kanisa linafanya maombi.
Chadema msijipe umuhimu wowote Tanzania tunaenda kwenye uchaguzi bila nyinyi na hakuna litalopungua
Mdomo unaobugia pombe umuombe Mungu yesu na iwe!!?..batili toka utosini hadi vidole vya miguuKwenye maombi waweke yeyote atakaepora haki baya limkute
No reform No Election
Hiyo sio kazi ya kanisa katoliki kanisa linafanya maombi.
Chadema msijipe umuhimu wowote Tanzania tunaenda kwenye uchaguzi bila nyinyi na hakuna litalopungua
Serikali ya CCM haifanyi reform kwa shinikizo la chama kimoja cha waropokaji. Kwenye Ilani ya CCM Samia ataleta katiba mpya...kwani Reforms wanazopendekeza Chadema zina ubaya gani kiasi cha kuleta ugumu kuzitekeleza?
Chadema nyinyi jiandaeni kuzuia uchaguzi ishakula kwenuKwa hiyo nyinyi ndio wenye muhimu. Hiyo Tanzania mliinunua lini?
Kwamba Dua zao hazikubaliki au?..wadai Reforms kabla ya uchaguzi.
..kuomba tunaomba miaka yote.
..hata 2019, 2020, na 2024, tuliombea haki na amani lakini uchaguzi uliibiwa.