Rais Trump amekosoa vyombo vya habari, adai Mashambulizi dhidi ya Iran yaliharibu Vinu vya Nyuklia

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Marekani Donald Trump amekosoa kile alichokitaja kuwa upotoshaji wa habari kuhusu taarifa za intelijensia zilizovujishwa na kwanza kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani
Rais Trump ameshikilia msimamo wake kwamba mashambulizi ambayo aliamuru kufanywa dhidi ya Iran, yaliharibu vinu vya nyuklia, tofauti na ripoti iliyovuja iliyotolewa na Shirika la Ujasusi la Jeshi la Marekani, DIA; inayosema mashambulizi hayo hayakusababisha uharibifu kama ulivyokusudiwa bali yamechelewesha tu mpango wa nyuklia wa Tehran kwa miezi michache

Kupitia mtandao wake wa Truth Social Rais Trump aliandika haya;

112.png

​
Source: DW SWAHILI
 
Hata mimi nashangaa. Bomu moja GBU-57 MOP inaweza kwenda chini wastani wa mita 61. Trump alipiga mabomu 12 kwenye sehemu hile hile (same spot), how comes mtu anasema hapakuwa na madhara ? Wamechimba na kwenda chini kuthibitisha? Those bomb has been tested and proved their capability. Hao wanaomdhiaki ni Democratics
 
Unakataa nini wewe?
Au utakua kichaa kama Trump?
Wataalamu wenye ujuzi wao hiyo sekta ndio waliotoa ripoti kuwa nuclear facilities hapo Fordow bado ziko salama shambulizi halikufanikiwa.
Ni sawa na Doctor Janabi atoe ripoti kuhusu masuala ya afya halafu Samia Suluhu aipinge hiyo ripoti ilhali yeye hajasomea udaktari.
 
Mimi nimejifunza kitu kimoja hii vita ni ya myamerika na WA Israel waliopo mashariki ya kati ni waamerika pia.Mwenye vita zake tumemjua
 
Unakataa nini wewe?
Au utakua kichaa kama Trump?
Wataalamu wenye ujuzi wao hiyo sekta ndio waliotoa ripoti kuwa nuclear facilities hapo Fordow bado ziko salama shambulizi halikufanikiwa.
Ni sawa na Doctor Janabi atoe ripoti kuhusu masuala ya afya halafu Samia Suluhu aipinge hiyo ripoti ilhali yeye hajasomea udaktari.
Bro sanamu yako tuijenge wapi Tanzania
 
Unakataa nini wewe?
Au utakua kichaa kama Trump?
Wataalamu wenye ujuzi wao hiyo sekta ndio waliotoa ripoti kuwa nuclear facilities hapo Fordow bado ziko salama shambulizi halikufanikiwa.
Ni sawa na Doctor Janabi atoe ripoti kuhusu masuala ya afya halafu Samia Suluhu aipinge hiyo ripoti ilhali yeye hajasomea udaktari.
Wanakuwaga ma empty set hao , 😁
 
Wanakuwaga ma empty set hao , 😁
Trump ni kichaa.
Mr.Grossi Afisa wa IAEA alitoa ripoti kwamba Iran haikuwa na mpango wa kuunda silaha za nuke kulingana na uchunguzi wao,eti Trump anamwabia huwenda hajui anachosema.
Yani unabishana na mtaaluma mwenye taaluma yake.
Ni vile huyu jamaa ni rais tu wa USA ila kichwani Trump hakuna kitu.
 
Back
Top Bottom