Mvutano kati ya Iran na mataifa matatu ya Ulaya — Ufaransa, Ujerumani na Uingereza maarufu kama E3 — umeongezeka baada ya mataifa hayo kutishia kurejesha vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Mataifa hayo ya E3 yametoa masharti matatu kwa Iran:
Kuanza tena mazungumzo na Marekani...
Akizungumza leo kwenye press Gen Caine akiwa na Waziri wa ulinzi amesema kwamba shambulizi la jumapili iliyopita kwenye vinu vya nyuklia vya irani lilianza kusukwa miaka 15 iliyopita kwa kufanyia utafiti kila kitu kuanzia mazingira,miundombinu na siraha gani iundwe kwa ajili ya kufanikisha...
Rais wa Marekani Donald Trump amekosoa kile alichokitaja kuwa upotoshaji wa habari kuhusu taarifa za intelijensia zilizovujishwa na kwanza kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani
Rais Trump ameshikilia msimamo wake kwamba mashambulizi ambayo aliamuru kufanywa dhidi ya Iran...
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.
Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo...
Amesikia Rais wa Marekani Donald Truph akisema hivyo mara baada ya kukamilisha zoezi, na kusema kuwa sasa ni muda wa amani, vita imeisha.
Binafsi nimefarijika kusikia hivyo, maana vita sio kitu kizuri. Wananchi wa Irani na Israeli walikuwa wanahaha.
Bora vita imeisha.
Katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu - White House, mara baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran, Rais Donald Trump amehitimisha hotuba hiyo kwa maneno ya kugusa sana moyo, yanayoonesha wazi kuwa anamcha Mungu kwa dhati na kutambua uongozi wake mkuu. Namnukuu...
Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran vilivyoko Fordow, Natanz na Isfahan huku akiwaonya Iran kutolipiza kisasi
Pia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amepongeza hatua ya Rais Trump akiiita “uamuzi wa kishujaa” na kusema kuwa...
Putin amesema Russia haina mpango wa kuwaondoa mamia ya wanasayansi wake wanaofanya kazi katika vinu vya nyuklia nchini Iran.
Itakuwaje sasa, eeeeh?
https://x.com/BRICSinfo/status/1935659750152355862
JUST IN: President Putin says hundreds of Russian nuclear experts will continue working at...
Stuxnet ilikuwa ni programu hasidi (malware) ambayo iliundwa kwa ajili ya kushambulia miundombinu ya viwanda, hususan vinu vya nyuklia vya Iran. Iliibuka mwaka 2010 na inahusishwa na mashambulizi yaliyofanywa dhidi ya mpango wa nyuklia wa Iran, haswa katika mtambo wa kurutubisha uranium wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.