Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
 
Bado hujadhibisha ukweli, na ww umekuja na story bila chanzo cha kueleweka
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Anga ya Iran ni wiki la pili sasa lipo chini ya Jeshi la Israel.
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Ulinzi wa anga wa tech utalalaje ? Tech inalala ?? Iranbwako vitani...watalalaje? Low IQ
 
Tukiomba clip footage ya hivyo vinu vilivyolipuliwa hatupewi sijui kwanini
Screenshot_2025-06-22-06-35-20-061_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-22-06-34-48-202_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-22-06-34-17-757_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-22-06-37-36-967_com.instagram.android.jpg
Screenshot_2025-06-22-06-44-43-220_com.instagram.android.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2025-06-22-06-38-01-934_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2025-06-22-06-38-01-934_com.instagram.android.jpg
    225.3 KB · Views: 35
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Kobaz wa tandale kweli mnaidhalilisha dini yenu aisee. Hiv upo serious
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Unafikiri vita ni kama kucheza kiduku Bar sio! Vita haina macho na inagharimu maisha ya watu na rasirimali zao. Tusishabikie vita, nikuambia tu, mwisho wa vita ni mshindi kupatikana, haijalishi alitumia mbinu gani. Vita sio nzuri
 
Sasa VITA gani mnapigana kwa sheria?
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Wakati wa mfungo mnakesha usiku kucha mnakula daku halafu wakati wa vita mnasubiri muamshwe kuambiwa mnashambuliwa, matope kabisa!
 
Back
Top Bottom