Huu mgogoro utaisha iwapo waarab pamoja na waislam watakubali kukatambua kaeneo kadogo tu sw na Tabora , ila waarab hawataki
Hata akianguka USA yupo mwingine atasimama na hao wayaud
Iwe ni eneo lao au sio lao , lzm tukubale wao ni binadam na wanapaswa kuishi popote pale
Upotoshaji wa historia na kushindwa kuheshimu jiografia ya leo bas hii itaendelea kuwatesa watoto , wazee na wamama wa ukanda wa mashariki ya kati na hata dunia pia
Iwapo Israel ipo tyr kurudi kweny mipaka ya 1948 bas na waarab pia wawe tyr kuwatambua wenzao
Hili swala linakuzwa na viongoz wabovu ambao wanwatumia wapalestina kwa maslai yao wenyew ila mateso wanayapitia wapalestina na huenda jamii hiyo ikatokomezwa kwa faida za watu fulan weny malengo ya kutawala ukanda mzima wa middle east