dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,424
- 17,056
HATA USA AMEKUWA MTU WA KUVIZIA VIZIA,SIKU HIZI VITA ZIMEKUWA NGUMU KWELI AISEImebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.
Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.