Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Vijana tupunguze kunywa visungura,haya ndiyo madhara yake
Ndio maana nasema umevurugwa
😂😂😂 Hizi zote zimekataliwa na grok siyo verified. Shalom
Salamaleko mustaazi 🤣🤣🤣😂😂 Shalom
Hapo bado njimbo haijachanganywa.Vijana tupunguze kunywa visungura,haya ndiyo madhara yake
Wew utakuwa komeo la mbao sio bureHatujavurugwa wala nini
Salama leko😂😂😂 Hizi zote zimekataliwa na grok siyo verified. Shalom
Wajinga wanazidi kuongezeka mkuu. Upo kwenye vita unalalaje?Kwamba ndege hazina kelele?
Wew utakuwa komeo la mbao sio bure
Yaani anakuja na tumada twa kuokoteza mkuuWewe bwege, jeshi halilali wacha kudanganya wajinga
Mngeanza na vinu vya kutwangia mpunga na ngano kwanza.Utajua tu subiri tulipize na sisi tunaenda shambulia vinu vya nyuklia marekani na israel
😄😄😄 haya bnUtajua tu subiri tulipize na sisi tunaenda shambulia vinu vya nyuklia marekani na israel
Hivyo tumeshapasua. Wanawake wameshaambiwa kama walinunua kinu Israel au Marekani wakibomoe kulipiza.Mngeanza na vinu vya kutwangia mpunga na ngano kwanza.
Yaani anakuja na tumada twa kuokoteza mkuu
Salamaleko salimia ayatollah na makamanda wake.Shalom 🤣👋👋 salimia Tel Aviv
Watakuwa wamelipuwa vinu vya kutwangia kisamvuTukiomba clip footage ya hivyo vinu vilivyolipuliwa hatupewi sijui kwanini
🤣🤣Salamaleko salimia ayatollah na makamanda wake.
View attachment 3378671