Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

Eti kunyata. Ulishasikia kitu kinaitwa stealth? Hata kama ni mchana hukioni. Tena hii midude ya $ bilioni mbili kila moja stealth yake imekuwa upgraded. Yaani Ayatollah hawezi kuiona ikimjia na inabeba kila aina ya silaha ikiwemo mitungi fulani hivi inaitwa bunk busters. Yaani hata ujichimbie vipi ardhini itakufikia tu hata ufanyeje.

Kwa hivyo siyo kunyata. Watu wamewekeza. Imagine Tsh trilioni karibia 5 ndege moja...

View attachment 3378768

Hamna kitu hapo. Subiri tuanze ziangusha kama maembe mabovu. Mrussi ashaleta mitambo yake
 
Zina inbuilt anti radar mechanism ambapo adui hawezi kuziona. B-52 Stratofortress has built-in anti-radar mechanisms designed to reduce its detectability and counter enemy air defenses
Hakuna lolote hapo. Sifa za kijinga. Zitaangushwa kama maembe mabovu na mitambo ya kirusi na kichina
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Kwenda kwa kuvizia ni mbinu mojawapo ya kimedani.
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Jeshi halipaswi kulala. Kama walilala huo ni uzembe.
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Iran hana uwezo wa teknolojia wa anga wa kulipua ndege zaidi ya makombora tu.
Anga la Iran ni jeupe tu, unaingia unafanya unachotaka na unatoka salama.
Hao makamanda waliouliwa nani anatoa taarifa kuwa wapo hapo? Iran yenyewe kuna maadui ambao wanatoa taarifa kwa Israel
 
🤣
Umekula lakini?
 
Anga letu lipo salama na mrusi na mchina wanatupa mitambo ya kutisha..
 
Marekani hawana akili na hawana nguvu. Wanavizia wenzao wamepumzika ndo wanaenda shambulia. Marekani hamna kitu kabisa mbwa hawa. Waende mchana sasa au wawaamshe kabla waone cha motom
Hahahahaaaa kweli wairan wameuchapa usingizi waowanavizia, aisee!
Kumbe kuna kuamshana ili mpigane vita!
 
Hata kama haikufanikiwa hivyo vita vinakufaidisha nini wewe mtanzania maskin ???
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Sio mchana mkuu hiyo b2 bomber haionekani na radar yoyote duniani ni ndege ambayo Haina mkia kwahiyo suala la kuvizia unajidanganya
 
Back
Top Bottom